Mtume (ﷺ) amesema:
Kutakuja Wakati Kutakuwa na Viongozi Ambao Hawataongoza Kwa Muongozo Wangu (Quraan) na Hawatafuata Njia yangu (Sunnah). Kutakuwa Miongoni Mwao Watu Wenye Mioyo ya Shetani iliyo Ndani ya Miili ya Watu. (Hudhaifa) Akasema: Je Nifanye Nini Ewe Mtume wa Allah...
Akhy Mtume anasema Mtu Atakayekufa Anapigania Utaifa, Atakuwa Amekufa Kifo cha Jaahiliya.
Hakuna faida katika kupigania na ukafa katika hilo. Maandamano ni Halali according to Katiba, Ila Mtume Anasema Haramu.
Na Sisi Kiigizo Chetu ni Rasuul. Kuandamana ni Kwenda Kinyume Naye
The mufti, rahimahullah, used to finish the Quran every 3 days outside of Ramadan, while some who haven't read it once in 3 years slander him.
Let them give him their good deeds, alhamdulillah.
Out of the 680 books they just banned, 140 were by women. Books were not banned just because they were written by women.
I swear I don’t even get surprised when BBC post garbage like this, but to see Muslims co-signing it and spreading it.
“All books by Afghan women are banned” is a nonsense quote we’ve seen on some news sites. There are way over 140 books written by women that are taught in Afghan universities.
Majority of books banned were about gender studies, secular politics, democracy, or Iranian propaganda.
Pambana kuacha Matamanio yako mabaya ili ubaki katika njia iliyo sahihi - Sheikh Hassan Muhammadayn
Mahaasin Tv (Azam Decorder ch. 455), Mahaasin Tv Short Clips & Mahaasin Tv Official channel (Youtube), Mahaasin Tv (Instagram), Mahaasin Tv (facebook), Mahaasin Tv (tiktok)
The Prophet ﷺ said that the imam was made to be followed, yet so, so many do the movements with the imam, and some even before him! Like saying, "Ameen", for example; some even say it while the imam is still reciting, "wa-laḍālleen"!
Follow the imam, ikhwa. Remind others!