Enock alitokea kumpenda sana dada m1, japokuwa demu alikuwa akimtolea nje mara kwa mara,
Lakini janja hakukata tamaa aliendelea kurusha ndoano huku akiamini one day yes...
Siku moja manzi akiwa ghetto kwake akampigia simu dogo janja na kumtaka aje maskani,
Enock alifurahi sana na kuhisi kwamba ombi lake limekubaliwa.
Inaendelea โคต๏ธ
@godbless_lema Ila napenda maneno yanayo toka kwenye vinywa vyenu kama ni nyeusi iambiwe ni nyeusi na kama nyeupe basi isisemwe kama ya kijivu hillo nimeliona kwako , umekataa ukatibu mkuu basi kuwa kshauri mkuu wa m/kiti kupunguza kauli ngumu na m/kiti na mwanasheria mbobevu wa Nchi wino sina
@godbless_lema Kitu ninacho kiona kwako wewe naona kama mmbeba maono wewe ninaona kama mtafsiri wa ndoto nimekuwa nikikufananisha na mjomba wangu miaka ya zamani alikuwa akisena kitu lazima kitokee na kwa lugha na tafsiri ya kwetu tulikuwa tunasema mjomba anamdomo mbaya Lema Mimi sipendi siasa
Bora nimejua mapema kumbe ukiolewa na mlevi anataka apikiwe mchuzi saa 10 alfajiri?
Mtu anakuamsha amelewa anataka upike ile unamaliza alishazima zamani๐๐๐ mmqe.