Mzee Warioba alipoongea juzi kuwa October 29 tume ndio ilipiga kura hakukosea na ushahidi huu hapa.
Nilishaposti hizi video instagram baada ya mauaji ya October 29.
Embu cheki, kipindi nchi nzima iko kwenye darkness Tume ya uchaguzi na CCM ndio walikuwa wanafanya kazi hii.
Uchaguzi wa Octover 29 2025 ni null and void. Hatuutambui.
“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.”
— Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.
Siku 399 jela, you remain unshakeable with a solid resolve for reforms. You’ve offered yourself more than enough for the country. Mungu akulinde na akutetee. May it rain; na ijulikane Mungu yupo.
Free Tundu Lissu Now!
Kuna Chama kimoja tu Tanzania chenye any moral ground ya kuwasemea Watanzania kwa sasa. Kuna chama kimoja tu Tanzania chenye any legitimacy ya kuwasemea Watanzania. Kuna chama kimoja tu Tanzania chenye uhalali wa kuwasemea Watanzania, chama hiko ni CHADEMA!!!!!!!!!!!
Vyama vingine vyote vilipoteza uhalali wa kuwasemea Watanzania either kwa kuwasaliti Watanzania kwa kushiriki uchaguzi wa 2025 au kufanya mauaji ya Oktoba 29.
Chadema ndio Chama pekee kilichoweza kuendana na matakwa ya Watanzania kwenye uchaguzi wa 2025, ndio chama pekee kilichosikiliza wananchi wanataka nini na wakaonyesha na kuongoza njia kwa kuja na NO REFORMS NO ELECTIONS na kusimama nayo mwanzo mwisho!!!!!!
It’s almost like Chadema ndio chama pekee cha siasa kinachoelewa Watanzania wanataka nini na wako tayari kujitoa kuhanga maisha yao ili wawapatie Watanzania wanachokidai.
Chadema ndio chama pekee kilicho earn kuaminiwa na Watanzania………
Siku huyu mzee akifa inabidi msiba ufanyike mwezi mzima.
Sidhani kama Tanzania ina Mzalendo zaidi ya huyu Mzee…. Mzee anaji risk maisha yake ili tu kuisaidia nchi, hana chochote anachopata zaidi ya kupoteza.
Nikiangalia anachofanya huyu mzee nazidi kufarijika kuwa I did the right thing kuacha biashara yangu iliyokuwa inanipa pesa nyingi ili kuwapigania watu ambao wamenipa platform.
Imagine kama Tanzania ingekuwa na wazee kama hawa hata 5 tu. Ila ndo hivyo Warioba yupo peke yake, wengine wote either dead or comprised.
Ndugu Watanzania, ni vyema tukatambua kuwa Tundu Lissu si msaliti wala adui wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Badala yake, yeye ni mzalendo wa dhati anayesukumwa na upendo kwa nchi yake. Mapambano yake si ya chuki, bali ni mapambano ya kudai haki, usawa, na utawala wa sheria kwa kila mwananchi. Sauti yake ni sauti ya wanyonge."
#MfungulieniTunduLissu
#freeTunduLisuu
…. Demokrasia ya kweli haijengwi kwa vitisho wala kwa kutumia vyombo vya dola kuwanyamazisha wenye mawazo tofauti.
Inajengwa kwa kuheshimu haki, sheria, na uhuru wa kisiasa.
Mwachieni huru Mhe. Tundu Lissu.
Haki itendeke kwa walioumizwa na demokrasia ya kweli iheshimiwe.
Kuishi maisha ya haki si jambo gumu kuelewa, ingawa linaweza kuwa gumu kulitenda. Mara nyingi tunajua kilicho sahihi uaminifu, nidhamu, wema, uwajibikaji na kujitawala. Changamoto si kukijua kilicho sahihi, bali ni kuishi hivyo kwa uthabiti, hasa wakati maisha yanakuwa magumu au majaribu yanapotokea. Maisha ya kweli na haki yanahitaji nguvu, uvumilivu na wakati mwingine kujitoa sadaka. Ndiyo maana yanaweza kuwa magumu, lakini msingi wake unabaki kuwa rahisi.
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa nitakuwa Uyole Jumapili hii pamoja na Viongozi wengine wa ngazi mbalimbali za chama…Ni mkutano wa hadhara na Wananchi wote wa Mbeya Mjini njooni tuendelee tulipoishia…✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#NyasaMpya#FREELISSU
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA @godbless_lema akiongozana na M/Kiti wa Chadema Kanda ya Pwani @ExMayorUbungo wakiingia uwanja wa mkutano wa hadhara leo Jijini Arusha.
#KatibaMpya