#TANZANIA:ALICIA LISSU:FAMILIA YETU INAISHI NA MAKOVU
“Familia yetu inaishi na Makovu, nilipomuona (Tundu Lissu) anakamatwa na hatimaye anashtakiwa kwa Uhaini nilikata tamaa”-sehemu ya mazungumzo ya Alicia Lissu, Mke wa Tundu Lissu wakati akizungumza na BBC Africa Eye.
Support Baraza Kuu La CHADEMA
Mchango tume hapa
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
#SamiaMustGo#FreeTunduLissu#TanzaniaMassacre
FACT:
- Huu ni mkopo na inakuja na riba
- Pia pesa inatoka kwa awamu na masharti ya malengo maalum
- Haitaweza kuziba ufa inayotokana na kuminywa kwa misaada na utalii kudorora na wawekezaji kukimbia!
Mnalisha upepo wajinga tu ila #TutaelewanaTu
Nimesikia sauti ikisika kwamba vijana tulishwa sumu kuichukuwa Serikali, Nataka niambie hiyo sauti kwamba huyu rafiki yangu alikuwa na musaada mkubwa kwenye maisha yangu. Lakini rafiki yangu alitekwa tarehe 31/10/2025 mpaka Leo hajulikani alipo sijui yupo hai au la. 👇Inaendelea
"Wafuasi wangu kwenye social media, X (twitter), Instagram, Facebook, Tiktok, mamilioni ya Watanzania na marafiki zangu wengine wote naomba tushiriki katika hili jambo kubwa na jema kabisa la #Tonetone, tutengeneze mvua itakayotuwezesha kukomboa nchi yetu." Mhe. Lissu, Mwenyekiti Chadema Taifa.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Propaganda za zidisha Mapenzi ya watu zaidi kwa Mhe. @HecheJohn Makamu Mwenyekiti @ChademaTZ2 mara 1000.🤣🤣🤣
Tuendelee kuchangia Baraza kuu la kihistoria Tarehe 15, September 2026.
Samia aliuwa hadi mtoto wa miezi mitano. Aliuwa mama mjamzito. Alikatisha ndoto za vijana wengi sana. Leo anajitapa kuwa bingwa wa haki za binadamu. Akae akijua hakuna kiasi cha jiki kitamsafisha. Sisi hatutasahau, na hatutakubali uhalifu ule dhidi ya ubinadamu upite hivihivi.
Uchambuzi Bora kabisa kutoka kwa Furhan sikiliza kisha Bonyeza repost GAIDI.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Asanteni sana Watanzania mpaka sasa tumefikisha milioni 24 tuendelee kuchangia CHAMA ili kiweze kufanikisha kuitisha Baraza Kuu.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Tutaweza kulinda Taifa hili kwa kujua hakuna atakayeishi milele. Hofu ya Mungu na kutubu dhambi zetu. Uwajibikaji bila kujali nani alisabisha na rafiki wa nani. Hiyo ndiyo njia pekee haya mengine ni sarakasi tuu na kwa kizazi hiki hazitaleta matokeo yoyote.@lifeofmshaba