Kuna yule mtu ambaye anajitoa kwa ajili yako kukutengenezea nyakati bora na nzuri kabisa kwenye maisha yako. Lakini sasa, Thamani ya zile nyakati huwa ni ndogo sana kwenye kipindi ambacho unakuwa pamoja na huyo mtu mukizifurahia.
By the way, Siku zote nyakati huwa na thamani
@vinquez_victor No matter how kind or good you are,people would always choose whatever they think is right at that moment.Even if they are wrong in what they think is right.
@apexofff Mchanganye hivi halafu pale kuna mkaka mmefanana naye sijui ndugu yako nipo jirani naye halafu potea utampa maswali mengi halafu atakuambia huyo mkaka yupo wapi mwambie we njoo nitakuonesha mkazie anakujua na kuulizia sana akifika mwambie kwangu pale sio mbaya karibu