In the upcoming elections, hakuna mtu mzuri. Wale wa mahindi, wa kupoteza 2 Billion per day, wa kazi kwa Vijana na kutuacha Misri, wale wa kuapishana usiku, wale wa kuuza embassy Tokyo. Wale wa kuuza makaburi. Wale wa kukula shamba za NYS.
Usiambiwe kuna ethics.
Pick your thief.