Maujanja kwenye kompyuta
Je umekua kuangaika jinsi ya kufanya activation ya window kwenye kompyuta lakini umeshindwa? Najua watu wengi wanatumia njia ya kmpisco ambayo sio salama kabisa !!
Leo nakupa maujanja ya kuondoa neno window is not activateduzi👇ni wako follow & share
Upngozi wa Klabu ya Fountain Gate Princess umesikitishwa na taarifa za aliyekuwa mchezaji wao Peris Oside kukutwa na ujauzito huku mtuhumiwa akitajwa kuwa mmoja kati ya viongozi wa Klabu hiyo.
Uongozi wa juu wa Klabu umemsimamisha kazi mara moja mtuhumiwa huku ukiwa mstari wa mbele kutoa ushirikiano kwa mamalaka za uchunguzi na mashirikisho TFF na FKF kwani wao kama Klabu hawaungi mkono vitendo vyovyote vinavyoashiria unyanyasaji
@CloudsMediaLive Huyo mchezaji amewaruhusu kumposti sura yake?Hamuoni nyie ndio mnamdhalilisha?Je mchezaji haruhusiwi kuzaa?Au ni mwanafunzi?Walimu,madakitari,Wabunge,wafanyakazi wa benk hata wanachuo wanaoana Sasa shida ni nini kwa mchezaji?
Upngozi wa Klabu ya Fountain Gate Princess umesikitishwa na taarifa za aliyekuwa mchezaji wao Peris Oside kukutwa na ujauzito huku mtuhumiwa akitajwa kuwa mmoja kati ya viongozi wa Klabu hiyo.
Uongozi wa juu wa Klabu umemsimamisha kazi mara moja mtuhumiwa huku ukiwa mstari wa mbele kutoa ushirikiano kwa mamalaka za uchunguzi na mashirikisho TFF na FKF kwani wao kama Klabu hawaungi mkono vitendo vyovyote vinavyoashiria unyanyasaji
@zittokabwe Watumishi WA afya bima Zao ni za kawaida, wakiumwa na familia zao Wana danda danda tu kweny vihosoitali , lakini TRA bima Zao ni VIP wanatibiwa hospital zenye resources, hizi akili tulizitoa wapi? Nani aliweka haya matabaka na Kwa kigezo Kipi?
Bima irudi ... Watoto mashuleni iwe lazima kukata Kwa kiasi kile kile Kwa ambae Hana Bima
2. Mama mjamzito anaenda clinic each time anatoa an amount inayofikia Bima anapojifungua anapata Bima tayari hii mfanye na hospitals
4. NHIF wafanye marketing ya toto Afya
Nights odo
Bima sio NHIF tu,nchi hii wengi wameajiriwa sekta binafsi kuliko serikalini(sekta binafsi wengi wana bima nyingine) watumiaji wa NHIF wengi ni watumishi wa serikali na ambao hawapo sekta rasmi mbona hesabu ndogo sana Bern..Hilo kundi unaloliona chache lina uhitaji sana
ATCL inajiendesha kwa hasara muda wote ila mnaongeza ndege lakini NHIF ndio mnachora mstari,rudisheni toto afya kadi ili hayo madarasa mnayojenga watoto wetu wasome kwa amani na afya njema.
Tatizo : Mfuko wa NHIF utapata hasara na hata kufa kwa sababu wanachama ni wachache waliojiunga kwa kulipia hii 50,400 kwa mwaka kupitia TOTO AFYA KADI
Suluhisho : Tufute hii TOTO AFYA KADI, tuongeze gharama mpaka 504,000 ili watu wajiunge kwa wingi.
Hapa tunakuza tatizo.
Iv ile mnayosemaga wajawazito ..wazee na watoto matibabu ni bure imekaaje ...na hii wanaojitahid kulipia hata kidogo pia mmeifuta kwa kigezo cha kufirisi mfuko.
Kuhusu CAG report - Hatua zimeshachukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa kwa wote waliobainika. Kazi hii ni endelevu...
Pili, Matumizi makubwa ya Toto Afya Kadi hayahusiani na Pesa ya matumizi ya kujiendesha ya NHIF. Sheria ya NHIF imeweka ukomo wa
matumizi ya NHIF kwa ajili ya uendeshaji - kutozidi asilimia 15 ya pesa wanazokusanya. Hivyo tunaposema matumizi makubwa ya Toto Afya Kadi ni pesa zilizolipwa moja kwa moja kwa watoa huduma.
Otherwise, tunaendelea kuchukua maoni na ushauri ili kuwa na Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa ambao ni Endelevu
@ummymwalimu@MPOGOMI Nimependa unajitahidi kujibu
Swali langu ni sisi kama wananchi kwa kua tumeshajua NHIF ni mafisadi unaweza kutueleza unaushahidi gani hizo gharama kubwa zote zimehudumia wanufaika na wala sio mafisadi?? Tuanzie hapo na 2 hizo hatua ni zipi mlizochukua maana hujazisema hapo??🤷♂️
Kwa faida ya wengi ambao hawajui nini kinaendelea,
Zamani TOTO AFYA KADI mzazi alikua anatakiwa kulipia 50,400 kwa mwaka ili kumkatia kadi ya bima mtoto wake kwa mwaka mmoja.
Sasa hivi mambo yamebadilika, hakuna tena huu utaratibu.
Mzazi una njia mbili tu za kumkatia bima mtoto wako, njia ya kwanza ni kutumia shule anayosoma au kumuingiza mtoto wako kwenye kifurushi chako kama mzazi.
Njia ya kwanza ambayo itabidi upitie shule inaonekana rahisi lakini inategemea kama una mtoto anayesoma, umri wa kuanza shule ni umri ambao mtoto kavusha miaka 5,
Chini ya miaka 5 watoto ndio hupata changamoto nyingi za afya na wanahitaji uangalizi wa karibu wa huduma ya afya hivyo kama mtoto wako yupo katika umri ina maana hajaanza shule hivyo inabidi umuingize kwenye kifurushi chako wewe mzazi.
Kama kuna mzazi anafanya kazi serikalini mambo ni rahisi, shida inakuja kwa wazazi wengi ambao wao hawana ajira rasmi zinazowapa faida ya kuwa na bima ya afya kwao na familia yao,
Shida inaanza hapa, lazima mzazi ukate bima yako ya afya ambayo ndani yake kutakuwa na bima ya mtoto, utakata bima ya afya kupitia vifurushi vya NAJALI AFYA, WEKEZA AFYA au TIMIZA AFYA.
Twende kwenye gharama sasa,
Kama mpo wazazi wawili tena wanandoa, na mtoto ni mmoja gharama kwa NAJALI AFYA mtalipa 504,000, WEKEZA AFYA inakua 924,000 na TIMIZA AFYA ni 1,272,000.
Niwakumbushe tu kuwa mtoto ni kuanzia miaka 0-17.
Sasa kama upo mzazi mmoja na mtoto mmoja gharama kwa NAJALI AFYA utalipa 312,000, WEKEZA AFYA 576000 na TIMIZA AFYA unalipa 792,000.
Hapa sitaki hata kwenda kwa wenye Watoto wawili au Zaidi,
Je kutoa 50,400 kama ilivyokua zamani na kuleta utaratibu huu wa kutumua vifurushi tunaona tumerahisha huduma?
Kumbuka kuwepo kwa vifurushi tu kunathibitisha huduma zinazofautiana, zamani 50,400 ulikua unapoata huduma zote ila sasa inabidi uchague kifurushi,
Yani kwa mfano kama kuna huduma unataka mtoto wako apewe na kifurushi chako ulilipia NAJALI AFYA 504,000 hakina huduma hiyo na labda huduma hiyo ipo kifurushi cha WEKEZA AFYA basi inabidi ubadili kifurushi na ulipia 924,000.
Leo watu wengi wanapata shida kupata bima za watoto wao.
Swali ni, tumesaidia au tumeongeza tatizo?