Inatimia miezi saba toka tupoteze ndugu,jamaa, na marafiki maisha yao yamekatizwa adi Leo hakuna alie wajibishwa zaidi ya kuuficha ukweli😭😭💔
R.I.P MO29💔🕊️
Leo ni 29/5 hii ni siku ya MAOMBOLEZO ya kitaifa.
Weka hapa picha na video za MAUWAJI waliyofanya WAKOLONI WEUSI #MO29 kwa ndugu zetu.
#Hatutasahau#MO29
REPOST.
Miezi ni saba sasa ya huzuni, Wananchi wana uchungu na maumivu, Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa nguvu waliopoteza wapendwa wao 29, walale salama wapendwa waliouliwa kikatili, wenye majeraha Mungu awaponye 🙏🏾
Hatutasahau kuwa October 2025 Samia Suluhu ali terrorise nchi nzima akauwa watu zaidi ya elfu 10 akijilazimisha kuwa rais.
RIP to our fallen heroes.
Tutadai uwajibikaji hadi tone la mwisho.
#MO29#TanzaniaMassacre
Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
🧵🧵