A VP for 6 Years, then a President for 4 years.. (a total of 10 years in that high office).. then killed her civilians for another 5 years to stay in power.. Hii ni greed ya ajabu kabsa..
Kuna Mama alitoka hospital na watoto wake wawili tena mchana, mmoja kambeba mgongoni mwingine kamshika wanatembea alipigwa Shaba na kufariki huku Watoto wakimuona Mama yao anakata roho 🥹
Mwenyezi Mungu Amrehemu 🙏🏻
Mitandao ilipozimwa hii ndio ilikuwa kazi ya JESHI LA POLISI.
Kupiga watu , kutesa watu, kuuwa watu na kuwavunja MIGUU. Haya yalikuwa yanafanyika GIZANI wakiamini dunia haitaona haya.
Na sasa wanatisha watu wasisambaze haya maovu yao. Wanafikiri kwa waliyofanya 29 october Kuna cha zaidi cha kututisha kuliko waliyofanya. TUMA USHAHIDI WA VIDEO kwa namba hii: +1 (862) 438-3337
Hawa tutashugulika nao kiulalo ulalo.
TUTAKUWEPO🫵😎
But guys, ... Kwamba, waliona kabisa ni jambo la heri na akili kusema waliofanya maandamano(vurugu) ni vijana toka nchi jirani! Okay, basi iwe kweli ni hivyo, what does this mean?
Ina maana kwamba, JWTZ walishindwa kufanya kazi yao ya kulinda mipaka katika kipindi muhimu kuliko vyote! Kwa hiyo TUTEGEMEE CDF kuwajibishwa? Au tutegemee kuingia vitani na nchi ambazo zilituma vijana wake waje kuvuruga Tz?
Why kutuona vinyago majani namna hii?? Why?
The same plain-clothed individuals seen shooting along this main street in Dar Es Salaam, were later recorded shooting in back streets (in footage uploaded by @mangekimambi https://t.co/aE7kqX68iU)
Note the same individual wearing the same black shirt with logo and cap.
Hawa ndio WAANDAMANAJI ambao POLISI na USALAMA WA TAIFA (TISS) waliwaua kwa RISASI ZA VICHWA.
Vijana wadogo waliokuwa wanaimba nyimbo ya TAIFA lao mbele ya heshi lao kwa mapenzi makubwa. Vijana ambao waliamua kuandamana kudai uwajibikaji na kupinga UTEKAJI unaoendelea nchini.
Dikteta JIKE anasema hawa sio WATANZANIA. Inaumiza sana na kukera sana hakika Tutavuka hapa tulipo na hiyo siku haipo mbali.
TUTAKUWEPO🫵😎
JWTZ, wamesimama wakiangalia Polisi Tanzania na Jeshi la Uganda likiua watanzania?
Samia akumbuke, hawa aliowaua akiwaita wageni, hawajafa Bure. Damu zao itakuwa chachu ya mabadiliko. Huwezi kuua Gen Z wote
A friend ambaye alikua katoka kazini anarudi nyumbani, kapigwa risasi na kufariki hapo hapo, na kaacha mtoto wa miezi 6 nyumbani.
Halafu mnasema, 'Things should go back to normal' Which normal pls? Nielezewe kama mtoto wa miaka 2.