Hivi hizi picha tunazopiga sasa hivi zinaonekana zina quality kali sana ila baada ya miaka mitatu minne ile picha ukiiangalia unakuta tofauti.
Uquality unakuta umepungua kabisa. Je picha yenyewe ndio inakuwa inaenda inajipunguza au ni mabadiliko ya teknolojia.