@YoungAfricansSC Kwa Mahitaji ya Cctv camera, mfumo wa camera 4 kwa Tsh 900,000/=,Camera 8 Tsh 1,300,000/= gharama hizo ni vifaa pamoja na ufundi, Pia tunafunga Electric Fence meter moja kwa 21,000/= ,Gate motor Inayoweza kubeba uzito wa kg500 kwa 1,600,000/= tunapatikana dsm, Piga โ๏ธ0686012320.
Hii Biashara Unaweza Jikuta kila siku Una mpeleka mfanyakazi Police Walahi๐๐ฎNa kama unafanya mwenyewe unaweza Jikuta umerudi mkoani Ndani ya masaa kadhaa๐ฅน
@mTusiOriginal 1.7B ilikua Pesa za watu walio muamini nakuja kuwekeza kwake,siyo kama ilikua Profit yote, alivyo pata changamoto police pesa zikaanza kupukutika na watu wakaanza kudai profit yao ya 50% aliyokuwa akiwapa na wengine wakitaka mtaji wao. Na wakati huo akawa ha tred tena.
@mTusiOriginal Huyu jamaa watu hamja msikiliza Kuanzia mwanzo hadi mwisho, mnachukua vipande tu. Ila Ukipata time ya kumsikiliza utaelewa, story yake na Mr kuku wa kigamboni, utofauti wao ni mdogo sana