Miezi miwili iliyopita, alikuwa akisherehekea ubingwa wa Ligi Kuu akiwa na Liverpool.
Mwezi mmoja uliopita, alinyanyua taji la Ligi ya Mataifa akiwa na Ureno.
Wiki mbili zilizopita, ilikuwa harusi yake.
Na sasa hayupo tena..π’π’
R.I.P Diogo Jota (1996-2025).