@RMinjben@mwlkeberenge Hayo mabomu yametoka wapi!?, yaan mnajitungia vitu tu, yaan mnaogopa maandamano mpaka mnaona ni vita😂, kamateni wao wenye mabomu sasa au bado movie haijakamilika
@abdulqubiz2@mwananchidr Sasa wewe na umaster mind wako wote, ndo unaandika huo ujinga, kwa hiyo chande kuandika hizo hukumu kuna justifying nini sasa hivi, kwamba tukubaliane na kila kitu anachofanya kutoka na hukumu hizo? Ukiwa Muongo ni mtu wa hovyo hata uwe na cheo gani!