@bnzobo@allyngUTD Pia wataalamu hawa wanaweza kutambua na kuwahudumia wateja wenye changamoto za magonjwa ya kujamiina,wahanga wa ukatili,afya ya akili,ushauri wa masuala ya afya ya uzazi na ujinsia,lishe,saratani na huduma kwa mama wajawazito na mahitaji maalumu.
@bnzobo@allyngUTD Kuongezea@bnzobo wanaposoma degree ya kwanza wanasoma vitu vyote na wenzao MD mpaka mwaka 3.Tofauti ni pale wakati MD wakisoma Gynaecology, Obstetrics na Internal Medicine wao huingia kwa undani kwenye masuala ya Upasuaji.Hivyo Dhana ya kusema kazi yao ni kung'oa jino ni uongo.
"Ukatili wa Kijinsia ni chanzo cha maambukizi ya Virusi vya UKIMWI hasa kwa Wanawake na Wasichana, kuwa balozi wa kupinga ukatili wa Kijinsia ili kutokomeza maambukizi ya Virusi vya UKIMWI " VVU vyaweza kuwa chanzo cha Ukatili pia Ukatili waweza kuwa chanzo cha Maambukizi ya VVU
Siku ya UKIMWI duniani 2022.. Imarisha Usawa, “Equalize”.
Ule muda wa maneno maneno umekwisha... Sasa ni wakati wa matendo, wakati wa kuchukua hatua kutafuta suluhu ya hali ya kutokuwa na USAWA na kutokomeza kabisa janga la UKIMWI.
#ImarishaUsawa#Equalize#WAD2022
Mwanaume wekeza kwa MKEO,mpatie fursa ya kufanya maamuzi, na kufikia ndoto zake kama kielimu, biashara na kauli nzuri.Mlinde kwa nguvu zote dhidi ya magonjwa na vitendo udhalilishaji.
Sasa mtu kajiua eti aliwekeza kwa mchumba au mchepuko.Kuwa na mipaka brother la sivyo utajuta.
@kyamageroandrew Hi, the previous speaker mentioned about the experience to work in Tanzania.through the African Rise program. I will be interested to know more about their work and where do they work in Tanzania
Kama jamii tunawajibu wa kuwalinda watoto wetu, na nyakati hizi watoto wa kiume wanapaswa kuangaliwa kwa namna ya kipekee.
Mimi nachukua hatua, wewe Je! https://t.co/pqrFm28vOV
Ushaidi unaendelea kukusanywa, tafiti zinaonyesha ni heri kupatiwa chanjo kuliko kutokuwa nayo kwani hatari inaongezeka kwa kiwango kikubwa kupata maambukizi na hata kupata changamoto za UVIKO-19. https://t.co/VXAxbEO9mK