@Emric35@IAmJogoo@mkuuJr5 Shida ni kwamba ukiliacha kwa mwanafunzi anaona 50400 n kubwa kuilipa likija kutokeq tatizo ndo umuhimu unaonekana na wabongo tunajuuana kwa kupuuzia mambo, kwahio njoa mbadala inahitajika kulikabili
@Emric35@IAmJogoo@mkuuJr5 Mkuu, Bima n muhimu sana we acha kaka kwa mjini daslam mwanafunzi kutokua na Bima n mzigo mkubwa siku mwanafunzi au mtoto wako akiumwa utaelewa