Watu hawataki kuingia kwenye madawa, watu hawataki kulewa kupindukia, hakuna anayependa kujidunga dunga tuu. Watu wana maumivu, watu wana msongo wa mawazo, watu wanataka tu kupata amani ya moyo na furaha, watu wanaomba njia wasaidiwe kuwa na maisha bora kila siku wanaomba huo msaada. Hawana shida na mtu, wao wana shida na wao wenyewe.
Watu wanaona bora wafanye vilivyokithiri ili tu waweze kuingia kwenye kidunia chao ambacho chenyewe kina amani, furaha na kila kitu good good. Watu wasaidiwe. Tusaidiane.
Watu wamepoteza pesa, nyumba, biashara, kazi, mke, mtoto, mama, baba, watu wamepoteza watu wanaowapenda na kila walichokiona kwao ndio dunia, watu wanaiona dunia yao ikifa huku wao wakiwa hai. Watu wasaidiwe. Tusaidiane. Hata kwa kumsikiliza tu mtu, unaweza mbadilishia maisha.
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awataka Viongozi wa Kimila na Machifu kuwa wasuluhishi katika kutatua migogoro katika jamii na kuzingagia usawa wa kijinsia pamoja na utu.
Conquering new heights. Mount Kilimanjaro, Africa's tallest peak, now boasts high-speed internet at its summit thanks to Tanzania's ICT broadband backbone network project, deployed by TTCL and supported by #Huawei. More details here: https://t.co/9fEsC0Gncs
#ConnectNewHight
I just had one of our preliminary production meetings with @Akleimarondo and the cinematographer Jumanne, for the upcoming Documentary which I have been looking forward to starting for the past couple years.
#NeverStopDreaming 💪🏾
@BillGates@TheADDF Nothing is painful like seeing your loved ones undergo such a terrible state of mankind and there is nothing you can do about it. Thanks BillGates and @TheADDF