@omaryMkiza Haki haiombwi haki hupiganiwa na lazma kuwe na watu watakaoumia muda mwingine hata kupoteza maisha. Migomo ni njia ya kulazimisha unahisi wangetyp X hapa wakaendelea na mission town leo media na wakuu wangekuwa buzy kujadili tamko lao?? Ni lazma kugusa public interst
@NkyaLinda@IAMartin_@NamdiAzikiwe Tumia akili ndogo hata 10 ni hela ndio maana ikipelea muamala haufanikiwi ikikosekana issue ni privacy na taarifa binafsi sio swala la kiasi.
Ni sawa n issue ya mawasiliano ni kosa kuvujisha mawasiliano ya mtu hata kama hana issue yyote ya kialifu au jinai
@Baradhuli2 Kwan watu wanaandamana sababu ya nn?? Wanawalaumu TEC?? Jibuni hoja zinazoibuliwana wananchi kama ishu ni kukemea hao mashehe walikemea ya tareh 29 mbna hawakusikia waliokemewa?
@Skinny36479503@chapanombombwi@Skinny36479503 kama hao ccm wasingekuwa na uroho wa madaraka wangeua watu maelfu ili kulinda madaraka?? Si wangeruhusu mabadiliko uchaguzi uwe huru na haki afu uone nn kitatokea?? Kwann kiggumizi kwenye mabadiliko ya katiba wananchi waamue wenyewe nani awe kuongozi sio mfumo
@cleansheet_1 Na ss hatutaki kubeba kwa tafiti fainal sio ugonjwa wa kufanyiwa tafit za maabara ss tunataka mbungi lipigwe mshindi apewe kombe sio tafit uchwara