Mtoto anakuwa lakini nguo zake hazikui. Watu wanabadilika kila siku,usimkariri mtu kwasababu ya makosa yake ya jana. Wanadamu wanabadilika.Ongea mazuri kuhusu rafiki yako, kuhusu adui yako kaa kimya, usiongee kitu Wale wanaonyenyekea sanaa kupita kiasi usisahau kutazama nyuso zao
Unit moja ya maji ni sawa na Lita elfu moja. DAWASCO wanambakiza mtu unit 30 kwa mwezi, inamaanisha Lita elfu 30! Kwa matumizi ya kawaida ya familia hii haiwezekani! Meter zao ni za uongo! Tunaibiwa! Nani atusemee?
Napenda kuwajulisha na kuwapa tahadhari kuwa akaunti ya @KikweteMrisho inayotumia picha na utambulisho unaotaka kufanana na wangu si akaunti yangu, wala si ya mtu ninayehusiana nae. Sihusiki na ujumbe wala maudhui yake. Chukueni tahadhari mnaposambaza ujumbe unaotokana nayo.
Asanteni sana wana Mwanza kwa upendo wa jana
Vitu vi 5 muhimu zaidi
1. Noti zenu zote mpyaaa 👌🏾
2. Kunitunza mliwazidi Dar 😊
3. Vibe lenu ni natural sio la kuiga
4. Mmenisaidia kumkumbusha yule jamaa wa jirani Jide ni nani 🤗❤️
5. Nimesamehe yalopita✌🏾
#SikilizaTogolani "Ukiwa na hela unakuwa busy na starehe zako, huna muda wa kufuatilia starehe za wenzako. Siku huna hela unaona kama wenzako wanafaidi zaidi, na post zao zinakukera. Kukosa hela na uchawi vinakaribiana sana". Mshauri wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe
Bahati mbaya si mara zote vile vinavyoleta furaha maishani mwetu ndio vile vile vinavyotupa raha. Na vinavyotupa raha si vile vile vinavyotupa furaha. Ni kama tunapata mtego wa kulazimika kuacha kimoja ili tuweze kupata kingine. Muhimu kujua wakati gani unatafuta kipi na kwanini!
No matter how new these cars are, the parked one will depreciate faster. This is the case of our bodies when we remain inactive. Many sicknesses and disease we are suffering today were nursed over time...
“Let us ask ourselves: How many times have you been out in the sun? How many times have you decided to climb the stairs, instead of taking a lift just as an exercise? Without moving around, without stretching our bodies, we are giving room to terminal disease...