Our world is changing rapidly, and Africa is no exception. As African youth, we need leaders who understand our unique challenges and aspirations.
🎙️Join us this Thursday at 5:00 PM - 6:00 PM (EAT) to discuss the kind of leadership we need.
🔗Register👉 https://t.co/ACuoVyGRw4
@IAMartin_ Radio za vijana hizo Wasafi, efm, clouds etc Contents wanazotoa ni appropriate na audience yao…zipo redio zina contents unazotaka nyingi tu kama tbc taifa, uhuru fm, community radios mikoani huko etc
@julip202 As an accountant lazima uwe na CPA but private sectors kibao wanaajiri bila kuangalia vyeti hasa kazi za sales but kama unataka uhasibu safisha hilo gap la gpa kwa kuendelea na cpa
@fbuyobe Kinachowaumiza wengi ni mali walizonazo hamuangalii ni juhudi kiasi gani wameweka kwenye huduma zao; audience yao inapata nini eg Huyo Tonny hana hata miujiza anafundisha neno la Mungu tu but still mnahate…punguzeni chuki
@msangijeff Kitu ambacho anapaswa kujua kuku akiwa on transit hapaswi kupewa chakula ukimpa tu, utafika destination na vibudu…swala la matenga inaweza kuwa la msingi