Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa KCBL Bank tunapenda kutoa salamu za pole kwa ndugu, jamaa na watanzania wote kwa kuondokewa na kiongozi, ndugu, na kipenzi cha wengi.
Pumzika kwa Amani Kiongozi Wetu. Tutakukumbuka Daima.
#kcblbank#coopmobile
Maisha ni kuchanja tu na KCBL Visa Card. Wikiendi Popote Kambi.
Sasa unaweza kulipia bili zako ukiwa na KCBL Visa Card popote wakati wowote kirahisi kabisa.
Jiunge na KCBL Bank Ufurahie maisha yako.
#PamojaTuyabadiliMaisha#KcblVisaCard#coopmobile
Hii ni akaunti maalum kwa mkulima inayomsaidia kuweka akiba na kumwezesha kufanya miamala ya kila siku pamoja na kuweza kupata mikopo ya kilimo kwa riba nafuu zaidi.
Kupitia akaunti hii, akiba ya mkulima ipo sehemu salama kabisa.
Usisahau akaunti hii haina makato ya mwezi.
Karibu ujiunge na timu ya ushindi kutoka Benki pekee ya ushirika nchini.
Kwa taarifa zaidi, tembelea tovuti ya ajira yako, nenda sehemu imeandikwa "Search Job Here" andika KCBL BANK, utaona nafasi zote za kazi zilizotangazwa, taarifa zake na namna ya kufanya maombi.
#kcblbank
Salamu za Pole. Tunatoa pole kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni kwa ajali ya moto iliyoteketeza mali zao.
Poleni sana ndugu zetu π
#kcblbank#coopmobile
Je, wewe ni Jasiri? π€ΈAnza wiki yako kwa kufungua Jasiri Account unufaike na mikopo yenye riba nafuu.
Jikwamue kiuchumi kupitia akaunti hii.
Fika tawini kujiunga na Jasiri Account sasa au wasiliana nasi kupitia namba hii +255743285793.
#kcblbank#jasiriaccount
Umejipangaje kutimiza ndoto za mwanao? Kupitia Mtoto Akaunti, utaweza kutunza pesa kidogo kidogo kwa ajili ya kutimiza ndoto za mwanao.
Fika tawini kupata huduma hii au tembelea tovuti yetu https://t.co/qqaQvxs3if
Pamoja, Tuyabadili Maisha
#kcblbank#mtotoakaunti
Karibu mwezi pendwa zaidi duniani. Usisahau kila kitu kipo mkononi mwako na Coop Mobile App.
Jisajili na tumia Coop Mobile Banking Ufurahie Maisha. β£οΈ
Pamoja, Tunayabadili Maisha.
#coopmobileapp#kcblbank#february
Unasubiri nini? KCBL Kumenoga, changamkia fursa na Bank ya Ushirika kwa kumiliki akaunti yako leo.
Kila kitu mkononi kupitia Coop Mobile App ya KCBL.
App hii itarahisisha kutuma na kupokea maokoto kirahisi zaidi.
#coopmobileapp#kcblbank
Coop mobile app ndio mchongo mpya town kwa sasa utakaowawezesha wateja wa KCBL kufurahia huduma za kifedha kiganjani.
Sasa unaweza;
-Kutuma na kupokea pesa
-Kuangalia taarifa za akaunti yako
-Kulipia bili na kodi za serikali (GePG)
-Kuangalia salio
#coopmobileapp#kcblbank