furniture Safi ๐น๐ฟ0786437672
๐kwa maitaji ya furniture za kisasa aina zote za majumbani na maofisini...
๐kitchen cabinets
๐makabat ya nguo na vyombo
๐tv show cases
๐masofa aina zote
nk
๐Tunapatikana manzese Argentina/keko
Vijana nguvu ya mabadiliko iko mikononi mwenu. Tanzania bora itatokana na uwajibikaji wenu kwenye kutetea maslahi ya kizazi hiki na vizazi vijavyo, changamoto mnazokumbana nazo kwa miaka nenda rudi inatatulika pale mtakapoamua imetosha.
Kwa kiasi kikubwa, vijana wamekosa ajira rasmi na wale ambao wameweza kuanzisha biashara na shughuli zingine za kujitafutia riziki wamekumbana na rungu la serikali.
Serikali ambayo imeshindwa kuwawekea mazingira bora ya kujipatia kipato imejikita kuhakikisha inapata asilimia ya kila kinachoingia mfukoni kwako kupitia msururu wa kodi na tozo. Nia yetu kama chama kikuu cha upinzani nchini ni kuendelea kuwasemea vijana na makundi yote ya kijamii ambayo yanakandamizwa na wale ambao walipaswa kuwa wakombozi wao.
Ninafarijika na nguvu uthubutu wa Baraza la Vijana CHADEMA katika kuleta mabadiliko chanya.
Nawashukuru sana kwa mwaliko wa kuwa mgeni Siku ya Kimataifa ya Vijana iliyofanyika kitaifa, Agosti 12- Mwanza.
Hii sofa nzuri nyie natamani mwenye uhitaji wa sofa usikubali kuikosa oda ya hii sofa hii sofa ukikaa unaifeel kabisa
Ina port ya charge,Saving drinks adjust head support
๐ฐ 1.7M
Unasubiri nini kuweka oda yako๐
โ๏ธ0710444391
Tunapatikana Keko pamoja na manzese argentina ๐ฃ