@rollymsouth Bashe nae alikuwa muhuni tu kama wahuni wengine na muigizaji tu anayetafuta huruma ya watu na vile hakuwa sehemu ya utawala ule wa hayati ila now nae ni sehemu ya mzizi huo uliomea vipi anaweza kurudia maneno haya aliyo andika au atasubiri Tena wakati mwengine