@Thommunkondya Unadhani kakurupuka? Watz siyo wajinga wanajua mmeomba Pooo kupitia Kwa msajili baada ya JH na GJL na Wengine CDM kurudi uwanjani sasa mnaanza kutoa milio mnamwambia msajili fura hii mashine! Hii nchi hakuna siasa
@Thommunkondya Toka mjue kuwa hata mkigombea mnapata ubunge kupitia Wizi mmekuwa na kibri Kwa jamii! Hivi kuna mtu timamu hajui namna mambo yalivyo Kwa ground? Siku hizi hamchaguliwi kuwa wabunge mnapewa ubunge
@Thommunkondya Hili neno "Comred" linatumika hata pasipotumika yaani hivi vitoto vya juzi ndo unaviita Comred? Ndugu Mbunge ambae kura za Wizi hazikufanikiwa ndo unaita hivi vitoto Comred? Unakosea sana hiyo title
@Thommunkondya@robkidayo_ Mlimtuma ssm mlijua atashinda uenyekiti? Sasa mmemtuma tena asukume agenda kuhusu Lisu kuridhiana? Yaani unaridhiana na watu ambao wamekuja kukupa kesi ya kunyongwa? Unakuwa huna akili
@Tweener003 Alafu eti mtu ana pesa nyingi anaenda kuwa Mbunge? Sasa anaenda kufanya Nini? Fikiria anaenda kugombea Jimbo hata siyo kwao wala Kwa wazazi wake
@HakiBalozi255@godbless_lema@HecheJohn@HildaNewton21@IAMartin_ Mzee Odero Mr TAML hataki kufutiwa mashitaka anataka aachiwe huru bila masharti Kwa sababu anasema kesi yake ni ya uongo ya kubumba! Sasa wew hiyo kufutiwa mashtaka umeitoa wapi? Unatumika Mzee