FOUNDER AND MANAGING DIRECTOR OF MASWA FAMILY GROUP(MASWA CHALK FACTORY) SOCIAL ENTREPRENEUR, PUBLIC SPEAKER, VOLUNTEER, LEADER AND FACILITATOR OF LIFE SKILLS.
Serikali iharakishe utekelezaji wa CSE mashuleni.
Tunaomba Wizara ya Elimu ipitishe maagizo ya kuimarisha elimu ya afya ya uzazi na kupitia upya mitaala ya walimu ili vijana wapate maarifa sahihi. Ni wakati wa kutimiza ahadi ya ICPD+25.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Ndoto zako ni za thamani maisha yako ni yako. Tambua njia salama, chukua hatua leo.
Epuka mimba zisizotarajiwa:
"Jua, chagua, linda ndoto zako".
#LetsTalkTz | #AfriYANTz | #KijanaPlus
Day 2 is on!
More ideas, more energy, and more youth voices shaping real conversations.
We’re learning, creating, and having a blast while at it.
#LetsTalkTz#KijanaPlus#AfriYANTz
Vijana ni nguzo ya mabadiliko.
Tuchukue hatua madhubuti kuimarisha usawa wa kijinsia kwa kuhakikisha fursa sawa, kuondoa ubaguzi, na kuwapa sauti vijana wa jinsia zote. Pamoja tunaweza kujenga jamii yenye haki na usawa.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Usawa wa kijinsia ni msingi wa maendeleo na uwezeshaji wa vijana.
Serikali inatekeleza sera na sheria kuhakikisha fursa sawa kwa wote bila ubaguzi.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus |#AfriYANTz
Vijana wanaweza kufaidika na ajira za kidigitali kama uandishi wa maudhui, ubunifu wa picha na video, uuzaji wa bidhaa mtandaoni, na kufundisha mtandaoni. Hii ni nafasi ya kuwekeza katika mustakabali wa kidigitali kwa maendeleo ya kiuchumi.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus
Afya ya akili ni msingi wa maisha bora.
Fuatilia kampeni ya #LetsTalkTz na tujenge jamii yenye utulivu wa kihisia na mshikamano wa kijamii.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Jiunge nasi kujadili Uwekezaji kwa vijana katika biashara kupitia VICOBA pamoja na muongozo mada wetu @yangaomary
Kushiriki katika mjadala huu piga simu au tuma SMS kwa namba +255 765 944 791
#LetsTalkTz#KijanaPlusTz#AfriYANTz
Afya ya akili ni msingi wa mafanikio.
Tuongee, tushirikiane, na kusaidiana ili kuhakikisha kila kijana anapata msaada kukabiliana na changamoto za maisha. Kupitia #LetsTalkTz, tunahamasisha majadiliano wazi kuhusu afya ya akili, tunavunja unyanyapaa, na kuwaunganisha vijana.
Afya yako ya akili ni msingi wa mafanikio yako.
Usisubiri, chukua hatua sasa tafuta msaada na zungumza. Usihisi upo peke yako, kuna msaada na suluhisho. Tunaweza kuvunja unyanyapaa kuhusu afya ya akili.
Jiunge na kampeni ya #LetsTalkTz Tuzungumze afya ya akili.
#KijanaPlus
Wapiga kura wa Dar es Salaam.📢
Ikiwa ulijiandikisha mwaka 2015 au 2020 na kadi yako haijapotea, kuharibika, au hujahama eneo ulipojiandikisha HUHITAJI kujiandikisha tena ✅
Sambaza taarifa kwa wengine! #ElimuYaMpigaKura#AfriYANTz
Elimu ya Uraia!
Je, ipi ni nafasi ya kijana kuelekea uchaguzi mkuu 2025? Karibu tujadili, tujifunze, na tuchukue hatua katika #LetsTalk Session 1.
📅 Jumamosi, 15/03/2025
📍 AfriYAN Youth Hub, Victoria DSM
⏰ 9:00am - 12:00pm
#KijanaPlusTz#LetsTalk