@SwahiliBible Kulinganisha na MNOs na ISP Kwa kweli wanajitahidi speed , service, customer care.. wakikomaa hivi hivi wanaweza kuwa shirika Bora zaidi la serikali..
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUFUNGUA KAMPUNI.
1. Fahamu maana ya Kampuni ni nini kwa kina zaidi?
2. Fahamu aina zote za makampuni ikiwemo public (plc), private (ltd), State owned, Foreign, NGO's, domestic , multinational companies n.k.
3. Fahamu sheria za makampuni ikiwemo
@Mzeewajambia Ni sawa, Je uwanja wa B187 ulikuwa na sifa zipi na CAF wametaka sifa zipi(ambazo hazikuwepo kwenye stardard ya bajeti ya awali ya B187) ambazo zimesababisha ongezeko la B151 na kufikia B330+
@swahilitimes Uwanja wa bilioni 187 ni uwanja ghali tunategemea uwe na standards za juu.. kusema mahitaji ya Caf ndio yamefanya ongezeko la zaidi ya 150bilioni sio kweli. Uwanja wa B187 ulikua na sifa zipi na demand za CAF walitaka Nini kiongezwe Cha B151 zaidi kufikia B 330+
@FKihamu Kwamba at first walifanya tathmini ya gharama za uwanja bila kuwa na guidelines standards za caf 😂😂... Halafu baadae ndo wakawaita Caf Kwa ajili ya guidelines za pitch standards sio..!! Wanetu wanatuonaje!!!