@YerickoNyerereT Yaani hamtaki nafasi ya chama ijaribiwe ila mnataka Mumjaribishe kwenye Urais. πππ Yaani nchi ni Chaka la Majaribio Kwa wagombea wenu.
DODOMA π
Kinamama wamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea mradi wa maji wa Nala mkoani Dodoma ambao utapunguza gharama za manunuzi ya maji kwaajili ya matumizi ya kila siku na umekuwa chachu kubwa ya maendeleo kwao
#KutokaSite#MpakaNdichi
@TanzaniaLeaks Kumbe mnajua kuwa wanaofanya haya yote ni kikundi Cha Watu ambao wanataka kumchafua Samia na utawala wake. Sasa Kwa nini mmeshupaza shingo kupandikiza chuki au na nyinyi ndo sehemu ya Mkakati??
@Jambotv_@ChademaTz Yaani anavyotingisha Matako hapo huyo Aisha utasema hata kuja Kuunga Mkono Juhudi....
Cheo bado Kipya anatafuta kuonekana super woman Kwa Viongozi wake π€£π€£
Awaulize akina Mdee