Mwaka 2021 nikiwa katika ziara ya #KatibaMpya Jimbo la Masasi nilikutana na Mhe Hamza Hakika Katani alimaarufu Machuma aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Masasi Mjini kupitia CUF 2020. Akanieleza nia yake ya kujiunga na jeshi la ukombozi, Leo amekata shauli ya kulingana nasi.
Bwana Yesu nakutazama.Ninakuamini wewe.Nisaidie nisilalamike mbele za uso wako katika hali yoyote ile. Umesema hutaniacha na siku zote niutazame msalaba kama ngao na wokozi.Nautazama msalaba mimi na uso wako usiniondokee kunitazama na hasira yako isinifike..
TUKUTANE PARADISO