@francismtey Waamini kuwa wale wote watakaokubaliana na mpango huo watakuwa salama na wanawaita "wenye chapa ya mnyama", na wale watakaokataa kuabudu j2 watauliwa na watapigwa vita sana. Wanaamini kuwa itawalazimu wenye Imani thabiti katika Bwana wa sabato kukimbilia vjjn
@Director_Reuben@francismtey@grok Hayo mnavyofundishwa ni just false teachings that gives you a sense of uniqueness and election, and gives you psychological satisfaction.
@Director_Reuben@francismtey@grok 3/
Au watauliwa wote (because most of them would rather die kuliko kuacha uislamu)?Hapo bado huja angalia nchi kama China ambayo majority ni atheists, India ambapo majority ni Hindu n.k. π
BIBLE inatuambia kuwa LUCIFER alikuwa malaika na akafanikiwa kushawishi kakundi kake na wakaanza harakati za UASI.
Sasa swali ni je, Kama mbinguni ni pahala PATAKATIFU ni nani alimuingia Lucifer na akapata wazo la kuanza Kupingana na Mungu?
@francismtey I find it hard to believe in the God of the Bible; he is so unreasonable. Kuna event 2samwel 12:11-14, "God" anamwadhibu David by inflicting pain on his wives(raped in front of all Israel) , and killing an innocent kid.
@francismtey "life swings constantly between suffering and boredom. We suffer when we want something we lack, and we grow bored the moment we obtain it, only to begin wanting again"