Kiungo wa zamani wa Real Madrid na Arsenal Mesut Özil ameiomba klabu yake ya Istanbul Basaksehir kusitisha mkataba wake baada ya kufikia Uamuzi wa kuachana na soka.
Özil hakuripoti kwenye mazoezi ya klabu hiyo na tayari ameripotiwa kuwajulisha wachezaji wenzake juu ya Uamuzi huo
Mmiliki wa Ineos na tajiri mkubwa kuliko wote Uingereza, Sir Jim Ratcliffe amethibitisha kuwa amejitosa rasmi katika kinyang'anyiro cha kuinunua klabu ya Manchester United kutoka kwa wamiliki wa sasa,Familia ya Glazers
“Tumejitosa rasmi kwenye mchakato” amesema Ratcliffe.
“Tumebakiza kufanya usajili WACHEZAJI WATATU wa kimataifa.
“Winga mmoja,kiungo mmoja ambaye amengia kwenye orodha ya mchezaji bora CAF na mchezaji mwengine ambaye ana hadhi kubwa nae tutamleta”
“Sisi hata tukimtangaza mchezaji muda gani sio ishu,tutamtangaza ajaye saa 9 usiku.
LATRA YATANGAZA NAULI MPYA ZA DALADALA, MABASI
Kwa Daladala nauli ya Tsh. 400 itakuwa Tsh. 500, ya Tsh. 450 kuwa Tsh. 550, ya Tsh. 750 kuwa Tsh. 850 na ya Tsh. 1,000 kuwa Tsh. 1,100
> Nauli mpya zitaanza kutumika kuanzia Mei 14, 2022
Soma - https://t.co/Ye4eBVa9oO
LISSU: KUFUTA KESI YA MBOWE SIO KUINGILIA UHURU WA MAHAKAMA
Makamu M/Kiti wa CHADEMA amesema hajamuomba Rais Samia aongee na Jaji bali aongee na Mwendesha mashtaka ambaye ni mteule wa Rais na ni sehemu ya Serikali Kuu sio sehemu ya Mahakama
Soma https://t.co/XOBanqnPgV
#JFLeo
Mapenzi yangu kwenu hayana kifani na hayataisha! Sitawaacha mpaka ukamilifu wa dahari.. tujisimamie kwenye njia zetu tutafika
Mungu awatunze sana!..🙏🙏🥰
Rais Magufuli ametangaza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kilichotokea leo February 17,2021, Kijazi amefariki saa 3:10 usiku akiwa Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.
#RIPKijazi🙏