Bana some ladies i think mnafaa ku style up bana nikitoka tao asubuhi Niko super metro kadem flani Mali Safi alikaa kando yangu ananuka pombe vibaya Sana asubuhi na amevaa dress ameekaa make up seems like somebody anaenda church sa ni vile alikaa kando yangu nikaskia smell nika..
Fikiria aiii huyu Dem haezi kuwa ananuka pombe kuangalia nyuma kudhani labda ni mse ako nyuma nikapata madhe amevaa mask nikasema tuh aii zii haiezi kuwa huyo madhe then nikaangalia mkono ya huyu Dem nikaona tattoo nikajua tuh ni yeye am asking why should a lady morning smell....
It is easier to date from your tribe than other tribes...
My pal alikuwa anadate a very fine Masaai girl and he loved her very much alikuwa amesema ni yeye na Huyo Dem milele until ile day ya kuona wazazi ilifika...my guy alienda huko expecting treatment yenye amezoea...
aliacha Simu home na saa hizo nimepigwa kichapo Cha mbwa. Mama akaambiwa anipee compensation akatoa cheque book akaniandikia cheque ya 500k. Mimi kuenda kuchukua hiyo cheque, Alarm ya Simu yangu ikaring nikaamka kuenda mjengo 😂😂
naye amefanya nini?" Hao polisi walijaribu kuniskiliza na nikawaelezea Kila kitu. Waliita huyo mama wakamwambia achukue hiyo simu aweke password. Yeye kuweka password ikakataa, polisi wakamwambia apige Simu askie penye yake Iko. Kupiga, mtoto wake akashika akamwambia
neshikilia phone yangu na vile huyo mathe aliiona akashout "Mwizi Mwizi" bila hata Kuconfirm kama ni yake. Kabla hata sijaelezea watu wakaanza kunipiga wakisema Mimi ni mwizi. Punde si punde polisi wawili wakapita hapo kama nimepokea kichapo Cha mbwa na wakauliza "Huyu...
Jana nikiwa on my way to town, Kuna mama mmoja alisema ameibiwa Simu kwa mat. Conductor wa hiyo mat akasema tutangoja tufike town ndio Kila mtu apigwe search. After kufika commercial Kila mtu alikua anashuka akipigwa search one by one. Vile ilifika my turn, nilikua...