ππ MWENEZI MAKONDA ATATUA HADI KERO ZA WAZUNGU
Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kwa kuzingatia imani ya Chama Cha Mapinduzi ya kwamba Binadamu wote ni sawa, ameithibitisha imani hiyo kwa kusikiliza changamoto ya Mwanamama mzungu aliposimama na kusalimiana na Wananchi wa Kwasadala Wilayani Hai alipokuwa njiani kuelekea Mkoani Arusha.
Mwanamama huyo wa kizungu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Sekila ambaye alieleza mgogoro wake na Benki ya ABSA na kuomba msaada katika utatuzi wa mgogoro huo ambapo Mwenezi Makonda ameagizia haki kutendeka kwa Mwanamama huyo.
Chama Cha Mapinduzi kikiongozwa na Mwenyekiti wake Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kinaamini binadamu wote na sawa katika kupata haki sawa pasipo kujali dini, ukabila, rangi wala utaifa ukiwa ndani ya Taifa letu.
ποΈ 23 Januari, 2024
#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
#KIPENGA "Kwa mtazamo wangu mimi kilichobaki sasa hivi ni kuomba dua tu....sisi wadau wengine tulishazungumza mapema lakini hatukueleweka....tulizungumza mapema kwamba huwezi kuwa na timu ya taifa nzuri kama ukiwa na wageni wengi kutoka nchi zingine kwenye ligi ya nchi yako, kwa sababu zile nafasi (wazawa) hawapati za kucheza na kuweza kuitumikia vizuri timu ya taifa, hii ni sawa tu na Uingereza....Ligi ya Uingereza ni nzuri lakini wageni ni wengi kwahiyo hawana timu ya taifa nzuri" amesema Venance Mwamoto, Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilolo-Iringa kupitia #Kipenga ya #EastAfricaRadio
#Kipenga #EastAfricaRadio
Waziri wa Fedha @mwigulunchemba1 anashangaa kwanini bado Tanzania inategemea misaada hadi leo, kwa mtazamo wako nini sababu ya Tanzania kuendelea kutegemea misaada na mikopo hadi leo na nini kinaweza kufanyika ili tusiwe tegemezi?
#SupaBreakfast#EastAfricaRadio
Ni kweli kabisa babie 2019 nilienda zanzibar kikazi maeneo ya stone town, kunabaadhi ya bidhaa zinatoka nje hasa nyama, sukari, sabuni za unga na vitu vingi sana, niliweza kuuliza ni kwanini mnachukua vitu ambavyo bara vinapatikana wakadai kuwa vya bara vingi ni feki labda kenya
Nimeiona Hii video ya Msanii/ Influencer Mkubwa Mmarekani Kelis, Yupo Zanzibarβ¦ Eti ameambiwa na wazawa, kuwa Nyama ya Ngβombe na kuku Zanzibar huwa zinatoka Brazilβ¦Huu ni kweli? Imekaa Je Lakini? π€
KLMY ASHA BARAKA. CCM imezalisha kizazi cha kipumbavu. Wanaona wao kuwa CCM ni tiketi ya kuamua hatima ya maisha ya wengine. Mnatakiwa kumkata vibao vingi akili zirudi kwenye factory setting. Labda kama eneo ni mali yake. Lakini hana uhalali wa kuamua nani awe mbogamboga.
@IdrisSultan Kaka idrisa mimi ni kijana wa kitanzania najishughulisha na biashara ya dagaa wa kutoka bukoba nimeanza mwaka jana mwezi wa 11 ila bado nahitaji support zaidi mtaji nilianza na laki mbili (200000/=) kama nitabahatika kuipata hiyo naimani nitafika mbali zaidi na nitakushukuru san