@zittokabwe@fatma_karume Hata ukirikodi haita saidia kitu watu wakishauliwa kuna watu watabaki wajane kuna wengine watabaki mayatima kuna watakaobaki vilema sas yote ya nin alietangazwa anatosha watu waendelee na maisha yao ya kakwaida na tuzidishe maombi kwa mungu