Manchester City wamejiandaa kumchukua beki wa Atletico Madrid Jose Gimenez ikiwa Napoli itakataa kushusha bei yao ya kumuuza Kalidou Koulibaly,@likudaz@juma_ayo#ManCity#Gimenez https://t.co/dxD7TfcO4c
Kama wewe ni mtu wa vipodozi mbalimbali kutoka #Oriflame basi mfollow huyu bibie ndie mwenye suluhishi lako missamyner kwa wakazi wa DAR ES SAALAM @ Oriflame Tanzania https://t.co/OlKNA6ryih
⭕Anaitwa erling.haaland fundi wa mpira haswa aliyewatundika Genk usiku wa jana .Ana miaka 19 tayari alishaweka historia lukuki barani ulaya.
.
⭕Akiwa anacheza kombe la dunia “World Cup 20U” timu yake ilipokutana na… https://t.co/cMIecjcLuW