ุงูุญุณุฏ ูู ุงุณุชุซู ุงุฑ ูุซูุฑ ู ู ุงูููุช ูุงูุทุงูุฉ ูู ุญุณุงุจ ูุนู ุฉ ุดุฎุต ุขุฎุฑ ุจุฏูุงู ู ู ูุนู ุชู
Husda ni uwekezaji mkubwa wa muda na nguvu kwenye kuhesabu neema za mtu mwingine, badala ya kuhesabu neema zako.
Dini yako pekee sio ticket ya kwenda peponi bali matendo yako, tusiache kutenda mema na matendo ya huruma siku zote. If you canโt help them at least donโt hurt them, tumeagizwa upendo. Dini ya asili kwa wote ni UPENDO.โค๏ธ
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.