Lala saa nne usiku, ikifika saa nane na robo usiku amka, Oga kaa kwenye charts, saa tisa Usiku huwa kuna Entry za Gold almost kila siku. Tafuta setup uokote.
250Pips Collected during Asian✅
Scalping Mode activated✅
#Proffesor
If you want peace, go to EURUSD.
If you want fast gains, go to XAUUSD.
If you want toxicity, go to USDCAD.
If you want to scream go to GBPJPY.
If you want sleepless nights, go to AUDJPY.
If you want it slow, go to AUDUSD.
If you want clean price action go to USDJPY.
If you want confusion go to EURGBP.
Kuna siri kubwa kwenye 10 TRADES RULE!
Test your level of consistency sokoni…
1. Sum-up Losses and profits after 10 trades!
2. Keep risk constant for straight 10 trades!
3. Self Evaluation after 10 trades!
4. Withdrawal after 10 trades!
Hii code ya wachache sana😀
After this post, watu wengi wamejaribu kuniuliza maswali DM, sasa issue ni Deep siwezi jibu maswali ya Technical kwa sms. Sasa kama kuna mtu ana zoom ambayo inabeba watu wengi (300-500) ani DM ili tuandae Zoom Moja tuwawekee wana Link hapa Twitter Nitatafuta time nije nizifumue Session na tabia zake (Sweep, Manipulation, Character na Timing). Kila anayetaka kujoin atajoin kwa link ya zoom FOR FREE.
ITS A HELP kwa Learned brothers.
NB: Ni pindi la Sessions TU, na sio FOREX NZIMA😂. Usije ukaita wana ukawaambia twendeni tukasome kuna Free Mentorship. Noo, ni katopic kamoja TU😂
@MkulimaKante Zina alarm system pia, kama mtu hana ubaya na majirani moto anapunguza anakua anategemea sana alarma manake ukilambwa shoti alarm inaita. Kuna muda zinaweza kuzimwa pia. Sisi hua tunawasha full voltage kuanzia saa 6:00 -11:30 asubuhi then inazimwa. Iko kwenye automation
DELETING YOUR BROWSING HISTORY DOESN'T DELETE YOUR BROWSING HISTORY. GOOGLE KEEPS ITS OWN COPY, TIED TO YOUR ACCOUNT, ON A PAGE MOST PEOPLE HAVE NEVER OPENED. HERE'S HOW TO WIPE ALL OF IT:
Guys... guys... guys... Please INVEST IN YOUR LOOKS. Get the facial, buy those shoes, the jewellery, get your hair and nails done every 2 weeks. You look better, you feel better, you do better. People treat you better, life gets better.
Mheshimu sana Mentor wako anaekufundisha Forex zaidi ya ulivyo waheshimu Walimu wako Chuo kikuu. Kama mentor wako anaprovide Real knowledge na ukienda Sokoni uliyosoma unaweza kuya apply na kukupa matokeo Chanya (ukatengeneza Hela).
Chuo Kikuu wamekufundisha nadharia, umemaliza shule unategemea Mtu ambae humjui aamue kukuita Interview ili utengeneze mkate wa siku. Usipoitwa kazini ndoto unazoota hazitatimia. Na bado ulilipia Mamilioni ya pesa.
Huku tunakufundisha VITENDO, unamaliza course unajipa kazi na kuanza kujipambania. Hauhitaji tena Interview, hauhitaji Boss, Hauhitaji tena kutumwa na Yeyote, Hauhitaji tena kuamka saa kumi na moja asubuhi, hauhitaji tena stress na Makwazo ya HR, hauhitaji kupangiwa ukakae wapi au ukaishi wapi, hauhitaji kutenganishwa na Familia yako, hauhitaji kufurahia weekend kwasababu kila siku kwako ni weekend. SASA KWANINI USIMHESHIMU SANA ANAEKUFUNZA, KUKUELEKEZA, KUKUSAIDIA NA KUKUJENGA KUWA MTU HURU??
MTUMIE UJUMBE MENTOR WAKO MWAMBIE "MENTOR MUNGU AKUWEKE SANA, AKUBARIKI ZAIDI NA KUFUNGUA NJIA ZAKO, MUNGU AMEKULETA KAMA MWANGA UJE UANGAZE NDANI YA KISIMA CHENYE KIZA NILICHOKUWA NIMETUMBUKIA. NAKUHESHIMU NA KUKUOMBEA."
RESPECT!
#Proffesor
THIS IS MY FIRST TIME TRADING WITH PROPFIRM
Julai 11, nadhani ilikuwa ni Jumamosi nilinunua Funded account ya $100K Ili niitrade kuanzia wiki hii. Leo nimepass Phase zote mbili.
Hii ilikuwa Two step Flex account ambapo Phase 1 ilikuwa Target yake ni $10000 na Phase two ilikuwa ni $6000
I've reached all Target in a single day.
Sio kwasababu mimi ni mzuri sana (Skilled) ila ni kwasababu Tunaweka Jitihada na Mungu anatupigania.
Anyway, ukitaka kununua Challenge yoyote kwa Fundingpips Tumia code "MOKIWA" utapata punguzo la %20.
#Proffesor
For Gold traders
London session❎
Newyork sessions❎
ASIAN SESSION✅
Asian ni bora kwasababu hakuna news za kishamba, price inafata mtiririko wake Technicaly bila kuwa manipulated na News uchwara. Kwa gold Asian ni best session ever, ila ukichagua kutrade Currency Asian Utachukia.
Gold anamaintain Volatility yake, anaheshimu structure, hana sweep za ajabu, haina manipulation za kishamba during Asian. Unlike to London na Newyork.
Na kama kuna session miyeyusho kwa Gold ni Newyork, News nyingi, Sweep za ajabu ajabu, manipulation Lundo.
A good thing ni kuwa, Gold huwa ana initiate trends kuanzia Asian, unlike to other paird which always initiate trends during London. GOLD DOES NOT NEED LONDON NA NEWYORK TO INITIATE TRENDS!
Kama wewe ni capable kuwa macho night, just trade durin Asian.
#Prpffesort
Fix a broken man, he’ll never forget you. He’ll stay loyal forever.
Fix a broken woman, she’ll heal, then leave you bleeding.
It sounds harsh but true.
Inachekesha jinsi kila demu wa kibongo anavyofikiri ataolewa na Tajiri.
Wengi wenu mtazeeka katika nyumba za baba zenu. Waangalieni wafanyakazi wenzako wakubwa; wote wako katika miaka yao ya 30, wakisubiri kama nyinyi. Nyote mtajifunza kwa njia ngumu.
Psychology in trading
-Control your emotions
-Patience
-Confident not overconfident, and so on
Risk management in trading
-Lot size control
-Daily loss limit
-Use stop loss
Discipline = Profit
NO RISK MANAGEMENT - NO TRADER
FOREX TRADING RULES
Market structure first
Understand time frame
Key level rules
Confirmation rules
SOLID PLAN FOR 30 DAYS
Day 1-7 ( learn and understanding
Day (8-16) - Practice and chart understanding and so on
Kwa kawaida kwa Mwaka huwa tuna Intake tatu (January, May na September) Kila Intake inapishana miezi mi5 (quoted ni May mwaka jana)
Kwa yeyote atakayewish kujiunga na May intake link ya Group la Booking hii hapa UTARATIBU WOTE NITAUTANGAZA HUKO!
https://t.co/V96cJXtOt6
Nunua Laptop yenye Uwezo 💻
Nunua WiFi.
Nunua smartphone yenye uwezo.
Kisha ondoka mjini nenda kijijini kajifungie huko Jifunze Mambo ya kuanzisha kampuni, Marketing, investment, digital Economy n.k.
Wakati huo fanya kilimo kidogo cha 🫛 🫘 🥔 🍠.
Jipe miezi 6, baada ya hapo