JEREMIAH: 29:11. “ For I know the plans I have for you,” declares the LORD, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and future.”.
@AmaniNdoroma1 @mafolebaraka@ahmedsalimasas@ahmedsalimasas
Kajifunze kwa wafanyabiashara waliofanikiwa wamiliki wa wall mart na hata Bwn Billi “MTEJA NDIO BOSS ANAWEZA KUKUFUKUZISHA KAZI ANYTIME" maan yake tukiacha kununua bidhaa za ASAS bas tena..kwa kifupi umefanya kitendo ambacho kime-discredit ASAS na.....
👇🏿👇🏿
Simpendi Mwigulu kwa dhati kabisa mainly kwa kujikomba kwake kwa Jiwe. Lakini nashawishika kuamini maamuzi ya Mama @SuluhuSamia kwamba she knows what she is doing. Na mnaomkosoa, onyesheni basi kuwa sio for personal reasons, toeni ushauri. Bashing someone is always easy.
Kwa vile tu Mama @SuluhuSamia hakuteua chaguo lako kuwa Makamu wa Rais does not mean hafai kuwa Rais. Mimi nampa Mama Samia clean sheet of paper kabla sijamhukumu, akiboronga nitamkosoa (kama anavyochelewa kuvaa barakoa) na akifanya vema nitampongeza. Give Mama yetu a chance!
24hrs Kikatiba inaisha saa Kumi na mbili njioni.
That means Mama @SuluhuSamia itabidi aapishwe 6pm kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania
We are in Mourning but we need our leadership to guide us through this trying times.
📷 Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali @osgtanzania I au Hana na Watanzania wote kutoa pole kwa Mh. Makamu wa Rais Mama @samia_suluhu_hassan kwa msiba huu mzito kwa Taifa letu. #burianijpm Na pole Watanzania. (at Kivukoni, Dar es Salaam)... https://t.co/8yphx50RsB
First Female President and Commanding Chief, Our beloved Hon Samiah Suluhu Hassan. Mungu akutangulie na akuongoze katika kila hatua utakayopiga kuongoza Tanzania yetu.
Tuko nyuma yako Mama 🇹🇿
My brother Tundu Lissu, 16 bullets could not kill you because God wanted you to live to WITNESS the death of the person who wanted you dead. We're not celebrating his death, but in everything we do on this life, there's a repercussion! Ukimtakia mwenzako mabaya, yatakupata wewe!
Much love and loads of power to you @fatma_karume ❤️❤️❤️
Acha leo iwe siku njema kwetu sote 🙏🏽
Let no-one EVER try to take away your light - keep shining! 🥰🥰🥰
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli. Natoa pole kwa familia yake, Mh. Makamu wa Rais @suluhusamia na kwa watanzania wenzangu wote kwa msiba mkubwa uliotupata kama Taifa. Rais wetu ameimaliza safari, Mungu ampe pumziko la amani
“Any political system – even one with a written Constitution – has some deeply rooted nonconstitutional norms that political leaders violate only at great cost..”