"Eeh Mungu baba, Sisi Wanachama na Mashabiki wa @YoungAfricansSC, Tumekuja tena Mbele zako kukuomba wewe Baba wa Viumbe vyote, Uifanyie wepesi timu yetu, ikaweze kushinda mechi zake na kutwaa mataji yote inayoshiriki na ukawape nguvu na kuwalinda wachezaji na Viongozi wetu." π
@Zephania_Ndaki Kama unauhakika Hakuna Baya Umefanya Toa taarifa Serikalini, Anza na Mwenyekiti wa Mtaaa the Mnampeleka Hospital, Then Taratibu Zitafuata
Sijui nianze wapi kuwaeleza kuhusu huyu kijana mdogo na kuwashukuru pia ila kuna muda huwa naguswa na ninatamani hata kulia nikikaa nae kupiga nae story, siku za nyuma nilimpost hapa Twitter akiomba kazi kwa kuwa alikuwa tayari kufanya kazi yeyote ile halali.
Mungu sio Dullah Maparachichi dogo ali bahatika kupata kazi kupitia ile post, kwa sasa anasema walau anamudu hata Milo mitatu kwa siku tofauti na mwanzo alikuwa ana kula mlo mmoja ama asile kabisa lakini kinachonigusaga zaidi ni jinsi akipata Wasaa wakuja kunisalimia the way ananishukuru nikajifunza kuna vitu tunaweza ona vidogo kumsaidia Mtu ila kwa muhusika vikawa ni msaada mkubwa kwake kuna muda anajaribu kurudisha fadhila kwa kuniungisha Nguo nyingi hadi napata tena huruma na kuona aibu sababu najua hali ya uwezo wake. Nisiongee sana ila naweza sema si mimi ninaye stahili hizi fadhila zote bali ninyi ambao mliweza support na kushare mpaka akapata huu msaada lakini pia bado anahitaji sapoti yetu kwa sasa anauza Magodoro ameajiliwa hivyo tukimuungisha na yeye anapata kakitu.π
Mawasiliano yake:
+255 612 258 612