Tundu unapata faida gan kujinasibu wakili wako Bob anafuatilia unavyodhibitiwa kwa kuvunja sheria+polsi?Na kwa viongozi wa serkal watakaoenda nje ya nchi watakamatwa na kufunguliwa kesi.Hvi Akili zako ziko ok au zi+mshekeri.UMEFIKA WAKAT KWA NEC kuwapima wagombea akili kabla
@CloudsMediaLive@AskofuTZA Clouds Media,acha kukibananga Kiswahili.Begi halikuibiwa bali LIMEIBWA. AskofuTZA ndie alieibiwa (mali yake) begi.Ukiandika begi limeibiwa una maana BEGI lipo ila mali ya begi ndo vimeibiwa
Mh Tundu Lissu,hivi kweli umekubali sawa na kuwa mpini ulowekwa SHOKA na mabeberu ili kuukata mti (Tanzania) ili waje kututawala kwa kumiliki uchumi wetu?Kwann ugeuzwe BUNDUKI na mabeberu ku2ua sisi nduguzo mithili ya Yuda aliemsaliti Mwalim wake (Yesu Kristu) kwa vipande 30?Du!
@VOAAfrica VOA, how true a u sure Tanzanian gvrnt is squeezing the so called Media be4 Elections.Have u consulted Media Council of Tanzania (MCT) / Union of Tanzania Press Clubs (UTPC) about ur unacceptable allegations. Don't intervene in our affairs while US is leadng in front line
@bbcswahili Waandishi +watangazaji wa habari wa Kiafrika wanaofanya kazi ktk mashirika ya habari ya Ulaya na Merikan BBC ikiwemo kwann huzizodoa nchi za Afrika kwa kuandika https://t.co/2qKr39iAIV walimzonga Muammar Gaddafi eti ni dictator akang'olewa na kuuawa.Leo libya ni majanga haikalik
@kigogo2014 Kigogo, kura za kumwaga kwa JPM, wabunge na madiwani wa CCM ni za lazma! KINACHOFURAHISHA:CHAMA CHAKO KIMESHIRIKI ILI KISHUHUDIE KITAKAVYOGARAGAZWA ILI LIWE FUNDISHO KWA MABARAKALA WA MABEBERU.Kwamba Wtz kamwe HAWEZI kufundishwa demokrasia na mabeberu
Kumbe jina la Antipas Kiingereza n:For all or Against all.Kwa Kiswahili lina maana KIGEUGEU.Majina hupewa watu kulingana na tabia zao.Ndo maana mh 2ndu ni kigeugeu.Ukiuliza Kidaghula ni dume la ng'ombe lenye rangi nyeupe na nyeusi ambalo haliogopi hata Simba moja hawezi kuliuwa
@bbcswahili Kwa sababu chema chajiuza wakati kibaya chajiuza.Pia Awamu ya 5 imewatambua, kuwathamini na kukuhakikisha maslahi yao yanalindwa na wanayapata
@millardayo Huyu ndie kiongozi ambae yupo kwa maendeleo ya wote.Kv ni wa wote ndo maana wazo la kuchangia aliliibulia kanisani.Mbona wa vyama vingine hana maono kama ya JPM.Kwa mchango huo,unafikiri walioguswa na mawazo ya JPM aloyatoa kujengwa mskiti watamnyima kura na kumpa 2ndu Lissu?
@HKigwangalla CCM oyee.
Naomba nijuzwe nanyi wajuzi: Hivi kweli watu wenye macho ya makengeza wana tabia ya KIGEUGEU? Kwa mantiki hio, hawaaminiki ndo 7bu HAWAWEZI kupewa uongozi wa nchi kwan wanaweza kubadilika wakati wowote,taf nijibuni
@JamiiForums Huyu bw Tundu anaota!Madarasa hayo atayajenga wapi wakat J5 atanyukwa kisawasawa na Wtz wapenda amani kwa kutompa kura?2namsubiri aingie barabarani kisha akamatwe na kupelekwa The Hague ili Boss wake Robert Amsterdam aliemgharamia kwa kumdanganya atashinda,akamtetee
@hpolepole Ndg Pole Pole,kv JPM aloyatenda yatampa kura za ushindi.Yy na nyie wasaidizi wake,kajiandaeni kunyosha nguo za kuvaa cku ya kusherehekea ushindi utakaowaibisha mabeberu. Chama cha 2ndu kitambulia pa2pu tokana na ma2si yao.Matusi kwa Wtz, Isn't a cup of tea 2 them
@HKigwangalla Kiingereza kina thamani ipi ya ziada kukishinda Kiswahili, Kisukuma,Kichina,Kibarbaig,Kizaramo,au ni u2mwa wa https://t.co/1jUSJlo7S9 English say goes: It's one thousand times better to have a common sense without education rather than to have education without COMMON SENSE
@eastafricatv Kilio cha wakazi hao wa Kgogo Mkwajuni mwarobaini wao ni JPM atakapoipewa miaka mi5.Kero zote za wana Mzizima zitakuwa historia.J5 twende kumpa kura za✔️✔️✔️nyingi ili ushindi umwezeshe kumalizia miradi aloibakiza ktk kipindi chake cha kwanza cha miaka mi5 iliomalizika
@hpolepole@ccm_tanzania Kura nyingi za ✔️✔️✔️ kwa JPM ni za lazima kwa sababu wananchi wanyonge,wazee,wamachinga,bodaboda,bajaji,mama ntilie, wapenda maendeleo na wapenzi wa amani WATAMPIGIA ZA SHUKRAN