๐
Katiba ya JMT inasema mgombea lazima awe amedhaminiwa na chama cha siasa,nawapongeza wote waliohamia juzi CCM kutafuta udhamini wa CCM.Ombi kwa vikao vya mchujo na uteuzi tuleteeni watu sahihi wanaoijua itikadi na sera ya chama chetu ambao wanakubalika ndani na nje ya chama.
@ashery_nyika@Adventure_36 Huyo Daniel anaenda kuangukia pua na hata amini kama ukatibu mkuu Tu aliachia Kwa kashfa kidogo Tu .. uvumilivu Hana na hata makambako Kwa DS kugumu mno .. TUTAKUWEPO