Simba SC imemtambulisha Kiungo Mkabaji Allasane Maodo Kante Raia wa Senegal ambaye amesajiliwa kutokea CA Bizertin ya Tunisia kwa Mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.
Chelsea wanafanikiwa kutwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia (FIFA Club World Cup) baada ya kuwafunga Mabingwa wa Ulaya PSG kwa magoli 3-0, magoli ya Chelsea yamefungwa na Cole Palmer aliyefunga mawili dakika ya 22 na 30 wakati goli la tatu limefungwa na Joao Pedro dakika ya 43.
HT: PSG 3-0 Real Madrid
⚽️Ruiz 6’ 24’
⚽️Dembele 9’
Nusu fainali ya kiume kila anayefunhwa na PSG mashabiki wanasema ngoja PSG ikutane na Madrid sasa watetezi nao wanadhalilika huku #FIFACWC
FT: Atletico Madrid 1-0 Botafogo
⚽️Griezmann 87’
FT: Seattle 0-2 PSG
⚽️Kvaratskhelia 35’
⚽️Hakimi 66’ #FIFACWC
Atletico Madrid utofauti wa magoli ya kufunga na kufungwa yanamuangusha, alihitaji goli moja ili kuitoa Botafogo kwa kigezo cha Head 2 Head.
FT: Al Ahly 0-0 Inter Miami
Haya sasa tumemalizana na mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia kwa Vilabu, burudani nzuri ndugu zangu Wakristo kama ulikuwa unaangalia mechi ukilala tu utapitiliza oga jiandae kwenda kanisani.