Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030.
With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to serve our continent, and steer us all to greater heights.
The United Republic of Tanzania is thankful to every member state that believed in your skills, experience and vision for our continent.
Professor, you have my warmest wishes for a successful tenure.
1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)
Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)
Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba.
Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro
Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha.
Tetesi ni kwamba, alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa WeMbo mkoani Arusha kipindi kile
Huyu anaunda timu ya watu watano ambaye mmoja wake (namfahamu lakini simtaji hapa kwa kuwa si sehemu ya swala hili) Initials za majina yake ni E. K
Yeye hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA akijicamouflage kama muuza maua.
2. Mwenye Kapelo tayari amefahamika kama Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani
Kuna namna @JMakamba alitufanya tufuatilie sana Wizara ya Mambo ya Nje, Ghafla unaona kavideo ka analysis ya ziara unaona viongozi usiowajua unaanza kuwafuatilia, Bilateral meetings na Mawaziri wa Mambo ya Nje, Nakumbuka campaign ya Ndugulile na Tulia alifanya Wizara kuwa kiGez
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza tarehe 12 Oktoba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
#KipengaXtra: Siku ya leo ndani ya #KipengaExtra tutaangazia kwa undani michezo ya kimataifa Simba na Yanga wote wakiwa ugenini. Kubwa kuliko ni mchezo wa Simba dhidi ya Al Ahly Tripoli wakitoka sare.
Ulionaje kiwango cha Simba katika mchezo huo?
#KipengaXtra#HainaKuchoka #EastAfricaRadio
Medy uliniambia nisiogope, na kwamba kila mtu ataonja mauti, lakini sikujua mwisho wako utakuwa wa namna hii.!
Fikiria mdogo wako uliyekuwa naye na kuishi naye miaka 66 leo ameshindwa Kukutambua kwa kukutizama uso wako.
Kama siyo ile alama yako ya mguuni huenda familia yako,ndugu zako na sisi marafiki zako tungekuacha ukazikwe na Jiji.
Maharamia wamekuua kweli, wamekuumiza sana, Wamekushambulia sana, Wameharibu uso wako wote ambao mara zote ulijaa tabasamu.
Hawakuridhika wakakumwagia tindikali ili Dunia isikutambue tena..!
Sasa roho zao zimefurahi nafsi zao zimeridhika kukuona ukiwa mwili mtupu usio na pumzi,Hujawahi kuwatendea baya lolote,kosa lako ni kuwa mwanachama wa CHADEMA.
Tutakutana tena Mbinguni Kamanda.
Halafu mnaotumia ugumba sijui tasa sijui ajuza kama tusi. Wapo ambao mnafanya nao harakati na hawana watoto na ni wakubwa kuliko mimi. Kwahiyo nao mnawakebehi? Siku hizi mbona wala sio issue kama una budget ya IVF na hata surrogate. Mko Dunia ya nyuma.
‼️ABDUL MWANAYE SAMIA NI NANI KATIKA SERIKALI?⁉️
Sikuamini hadi nilienda kutafuta video
👉🏽Taarifa niliyopewa ni kuwa Abdul Hafidh Ameir ana pass ya Ikulu kama mwajiriwa
👉🏽 Abdul calls the shots na ni member of kitchen cabinet ya mama yake
👉🏽Wakati wa kuapishwa Cardinal Rugambwa alienda Vatican na kutaka Balozi wa wakati huo (sasa Waziri wa Mambo ya Nje) Mahmoud Thabiti Kombo amtambulishe kama mwakilishi wa @SuluhuSamia - kitu kilichoshangaza waliokuwepo na kushuhudia hiki!
Screenshot ya video huko Italy hii hapa na kama tofauti semeni:
1️⃣ alikuwa hapo kama nani?
2️⃣ alienda kwa pesa za nani?
3️⃣ alikuwa na shughuli gani hadi aambatane na kupenyezwa na Balozi?
Bado hiyo ya Museveni
Tukiambiwa shughuli za serikali zinaendeshws kifamilia mnatubishia ya nini?
TISS, JWTZ mpo tu?
Watu milioni 60 hatutakubali kuendeshwa na ukoo!
#TutaelewanaTu
Wanachama na wafuasi wa CHADEMA 20 pamoja na dereva na kondakta wamekamatwa eneo la Mikese-Morogoro, wakielekea Mbeya kushiriki kongamano la siku ya vijana Duniani. @SheilaMchamba na dereva wamehojiwa kwa tuhuma za ‘illegal human trafficking’. Wengine wamehojiwa kama mashahidi.