Wana Iringa Mjini Wakigombania Kuichangia CHADEMA Leo
Yaani Watu Wanakuja Kwa Gharama Zao Na Bado Wanachanga
Hivi Kuna Chama Kinachopendwa Na Kukubalika Kama Hiki Nchi Hii?
Hawa ni wagonjwa mahututi waliolazimika kuiba dawa baada ya kunyimwa matibabu kwa sababu hawana fedha.
Wameichenga HESLB ili waweze kupata nafasi ya kusoma vyuo vikuu kwa maslahi mapana ya umma.
Wanaopaswa kupelekwa mahakamani ni washenzi wanaotumia trillion moja kugharamia safari huku vijana wakikosa fursa za elimu na kulazimika kughushi nyaraka.
Lissu ni aina ya watu wachache sana ambao dunia inaweza kuwapata ambao wapo tayari kuteswa,kuumizwa/kuuawa ilimradi tu wanasimama katika kusudi na imani waliyojiwekea,kiufupi watu aina hii hawayumbishwi na chochote wanaishi kwa principles hawawezi kukubali kuwa watu wa wa mtu
BAJETI 2026/2027. Hapa jambo kubwa ni je mikopo yetu ni HIMILIVU? Hapana imezidi. Kwani kwa takwimu hizi
Mapato ya serikali ni Shs T36.99 kodi+T9.24 mengineyo =T36.23.
Madeni ni T7.84 yaliyoiva+T6.86 riba=T14.70.
Madeni kama asilimia ya mapato halisi ya serikali : T14.70/T36.23 = 40.57%.
Deni himilivu halitakiwi kuwa zaidi ya asilimia 18% ya mapato ya serikali. Kwa hiyo tumevuka mpaka (kima cha juu) hata kama WAKOPESHAJI watatwambia vinginevyo. Bila misaada zaidi TWAFA🏃🏻♂️🏃🏻♂️🏃🏻♂️Kodi zikizidi uwezo wa wananchi kulipa zinakwepwa au kufirisi walipaji. Inakuwa vicious circle.
#BREAKING: SOUTH SUDANESE GRAFT WHISTLEBLOWER ABDUCTED IN KENYA
A South Sudanese anti-corruption whistleblower has reportedly been abducted in Nairobi, raising concerns among activists and human rights defenders.
According to a police report, Athorbey Al-Gaddhaffy-Dit, who also holds Kenyan citizenship, was allegedly seized by armed men in masks and forced into a vehicle in the early hours of Tuesday morning after leaving a casino in Nairobi.
Al-Gaddhaffy-Dit is known for exposing alleged corruption involving South Sudan's political elite and had previously expressed fears for his safety.
Kenyan activist Boniface Mwangi claimed there were reports that the whistleblower was being held at Jomo Kenyatta International Airport pending possible deportation to South Sudan, where supporters fear for his safety. Authorities had not publicly confirmed those claims by Tuesday.
Ruto amefanikiwa kumbadilisha mawazo Dangote kujenga Refinery Mombasa instead of Tanga.
Amesema ameambiwa Mombasa kuna Deep port na Kenya ina uchumi mkubwa Afrika Mashariki, pia wana matumizi makubwa ya mafuta.
“Kama dini yako inakufundisha kusubiri haki katika maisha yajayo, huku ukikubali dhuluma katika maisha haya, basi unapaswa kujiuliza ni nani hasa anafaidika na imani hiyo. Imani ya kweli inapaswa kumwamsha mtu, si kumfanya alale."
Malcom X
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
@BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?"
Ambassador Lazaro Nyalandu, senior advisor to Tanzanian president Samia Suluhu Hassa, responds to claims security forces killed hundreds of people following Tanzania's widely disputed election in 2025.
🌍 https://t.co/rB90Nphn29