Nilimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. @MagufuliJP kwenye shuhuli ya kuaga Mwili wa Rais wa Zamani na Muasisi wa Taifa la Zimbabwe Mzee Robert Mugabe kwenye Uwanja wa Taifa wa Michezo Jijini Harare Zimbabwe.
This is leadership. Rais @MagufuliJP ameonyesha hekima, utu na njia wakati @Nnauye_Nape katoa somo la utii kwa mamlaka na kujifunza. Tumepata darasa jingine jipya la uongozi na siasa #Tuendako
Spika Ndugai : Nimemualika Mzindakaya ambaye amekuwa Mbunge kwa miaka 45 mfululizo, kuanzia 1965 hadi 2010 na najua kuna Wabunge wengine hapa hata mfanyaje hamtafikia hiyo rekodi.
#BungeniDodoma