Namshukuru MUNGU jumapili yangu nimeianza na hii VIDEO hakika watanzania wamefunguka VICHWA SIO MCHEZO.
Mjomba anapiga PANAPOUMA KWA LUGHA NYEPESI SANAAAA.
REPOST 200
Kwa wapenzi wa Chadema Tanzania nzima , huu ni wakati wa kuonyesha umoja wetu
Hali tuliyokuww nayo wote tunaijua
Kama mfumo umekufanya uote hii twit Tafadhali ritwit ifike mbali
Repost 990
Chadema pokeeni huu mchango wangu ambao umetokana na pesa ambazo Watanzania wananipa kupitia subscription za Mange Kimambi App na subscription za account ya Instagram ambayo imefungwa ( ni maajabu account imefungwa ila bado wananikusanyia mapato kila mwezi na kunitumia).
Hizi pesa mmpewa na Watanzania sio na Mange Kimambi maana bila Watanzania hii pesa nisingekuwa nayo.
Ahsanteni sana Watanzania kwa kuendelea kulipia subscription za Mange Kimambi app, although sijaweka habari zaidi ya miezi 9 sasa. Na pia Ahsanteni ambao hamja cancel subscription za page yangu ya instagram iliyofungwa (@mangekimambi80) nawaomba msicancel.
Watanzania, Chadema hawatoweza kutusaidia kudai haki kama hawana pesa yoyote. Ni lazma sisi wananchi tuwachangie.
Kama jinsi mlivyojiunga kwenye subscribption za Mange Kimambi app naomba mjiunge na subscription za Chadema. Imagine Kama Watanzania laki 2 tu mkijiunga subscription ya elfu 3 tu kwa mwezi, hiyo ni milioni 600 kila mwezi kwa Chadema.
Pia bila pesa hakuna movement ya maana Chadema wataweza kufanya. Wauwaji wanakodi zetu wanazitumia kushikilia nchi bila ridhaa yetu. Ni lazma tuwawezeshe Chadema.
Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini.
Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu.
Lakini ukweli usioepukika ni huu
hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA.
Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe.
Hatuna budi kuchukua jukumu.
Hatuna budi kusimama.
Hatuna budi kuchangia.
Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA.
Usione mchango wako ni mdogo.
Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki.
Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji.
Mimi nipo, na nimeanza.
Na wewe pia ni wakati wako sasa.
Chukua hatua.
Anza kuchangia.
Simama na CHADEMA.
Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI.
Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara.
Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza.
Asanteni.
Tarehe 07 May 2025 niliandika ujumbe huu.
"CHADEMA ni kama Meli ya Kigiriki,pamoja na mawimbi mengi,makubwa na makali lakini CHOMBO kitavuka salama."
Sababu kwa miaka yangu 21 ndani ya CHADEMA nimejifunza kuwa
1.kadri utavyoibana CHADEMA ndiyo utakavyokuwa unaitanua bila wewe kujua.
2.kadri ya utavyokuwa unaipa misukosuko CHADEMA ndiyo utakuwa unaiimarisha.
3.Kadri utakavyokuwa unawahamisha Wanachama na Viongozi wa CHADEMA ndiyo utakuwa unatengeneza Wanachama na Viongozi Imara watakao bakia ndani.
Tukio la leo ni ishara kwamba Meli hii ya Kigiriki imeyashinda mawimbi na dhoruba sasa inaendelea na safari yake ya kuelekea Tanzania mpya.
Natafakari sana tangu jmosi leo nimeamua kuomba msaada.
Hivi kwanini Mbowe alikwepa kutaja jina la LISSU au hata cheo chake pale msibani; akasema viongozi walio mahabusu nchi nzima?
Kwanini hakusema Mkiti Lissu na viongozi wengine wote nchi nzima?
Jina la Lissu linatisha?
Nchi isiyo na Sera thabiti matokeo yake ndo haya BBT imeondokana Bashe Nanauka naye amekuja na YIP yake kila mtu anatafuta pa kuvunia shamba la Bwanaheri
"Tumekuja na programu ambayo inaitwa 'Youth Investiment Program,' kwamba tunataka vijana wawe wawekezaji katika taifa letu kama ambavyo tumekuwa tukiwapa kipaumbele wageni. Tunataka vijana wa nchi hii pia wapewe kipaumbele katika suala la uwekezaji." - Joel Nanauka, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana
TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina:
Catherine johaness protace
Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam.
Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.
Catherine amekosa matumaini ya kuendelea na Chuo baada ya kaka yake Baraka Chacha Mwita aliekuwa anamsomesha kuvunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini, mpaka sasa yupo gerezani.
Mahitaji muhimu ya Catherine na Familia yake.
1.Ada ya Chuo Million 1
2.Bima ya Afya
3.Kodi ya Nyumba
4.Mahitaji ya kila siku
5.Matumizi ya Kaka yake magereza.
Tumchangie kiasi cha Million 5, namba yake ni 0740264760
Catherine johaness protace
TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina:
Catherine johaness protace
Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam.
Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.
Catherine amekosa matumaini ya kuendelea na Chuo baada ya kaka yake Baraka Chacha Mwita aliekuwa anamsomesha kuvunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini, mpaka sasa yupo gerezani.
Mahitaji muhimu ya Catherine na Familia yake.
1.Ada ya Chuo Million 1
2.Bima ya Afya
3.Kodi ya Nyumba
4.Mahitaji ya kila siku
5.Matumizi ya Kaka yake magereza.
Tumchangie kiasi cha Million 5, namba yake ni 0740264760
Catherine johaness protace
Hili limenimiza sana. Maisha ya vijana wengi sana nchini yameharibika ili mtu fulani awe KIONGOZI.
@Twaha_Mwaipaya ametangaza Rasmi kumtafuta huyu BINTI na kuongoza kampeni ya kumuwezesha kwa ada na mambo mengine yeye na familia yake.
Sisi tuendeleee kupaza sauti kulilia ndugu zetu wanaoteseka MAGEREZA kwa kesi za UHAINI ambazo sote tunajua ni kesi ya UONGO wamepewa ndugu zetu.
POLE SANA BINTI NA OMBI LANGU KWA WATANZANIA TUSHIKAMANE KWENYE POST YA KUMSAIDIA KUMVUSHA YEYE BINAFSI NA FAMILIA YAO KIPINDI HIKI KIGUMU.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Lazima tifanye jambo kwa huyu dada. Maumivu ya kaka yake kupewa kesi ya UHAINI ni makubwa sana. Maumivu ya kushindwa kuripoti chuo kwa kukosa ada kwa sababu anayemtegemea katupwa gerezani tusiyaruhusu hata kidogo.
#Tutashinda_Hakika