@KiturOscar @TheNairobiTimez In my country this is what is done. You donโt just end saying sad, touching, blah blah and do nothing. This is one of the powerful comment I have seen in this story. Can anyone let us know how to reach them and help?
@arusha_icon@elikanamasaba Uliwahi kukutana na hukumuoa! Uthibitisho wa kwamba anaweza kuwa na tatizo kama hao hao ambao sio mabikira. Ama matatizo yanayofanana ama yasiyofanana
@massawe11469 @devis_ezekiel @Paullyker Si amesema kuna aliezaa nae na upendo wake umehamia huko!? Sasa kama amezaa na mtu amemuelewa si avunje huku ahamie kule!?
@devis_ezekiel @Paullyker Huyu kishakuwa kimbulu. Hampendi mke wake halafu anashindwa kumwacha sababu ya ndoa. Huko pembeni anamasulia 78. Anatuzingua, anajua anachofanya halafu anataka kutuumiza sie vichwa. Imani inamzuia kuwa mzinifu ila yeye amekubuhu, ila anashindwa kumwacha mke wake. Anazingua huyu
@Ms_Rashfody Kama mmekengeuka na mmeshipaza shingo zenu mkidhani mnaweza kuwa wanaume tuwasaidieje?! Mimi nasubiri tu mtoto atakaepatikana kutoka kwenye huo muunganiko wao batili.!
@CenturyBoe Kuna mwamba aliwahi kuonekana na mkuu wa shule street mida ya usiku. Mkuu akaahirisha starehe zake kawasha cruiser mbio kuitisha roll call, jamaa alishamsoma kabla hajaondoka akawa amedandia gari, kuifka karibu na shule akashuka akala shortcut mkuu anaitisha roll call jamaa yupo.
@Neypaul01 Mimi mwenyewe namuelewa sana. Kila dawa na matibabu yake jamani. Huwezi kunywa Fragile kutibu kichwa.! NARUDIA. Kila dawa inayo tiba yake Hehehehe.!
@Sukayotz @donpimbo Usijaribu mzee. Mimi mwenyewe sijawahi kupiga hiyo mikitu. Tuna jamaa yetu yeye aliona mwenzie akipiga anasoma balaa na yeye akaamua kuanza kupiga, sasa badala ya kusoma yee akawa anacheka balaa hata hatujui alikuwa anaona nini.
๐คฃ๐คฃ ๐คฃ๐คฃ๐คฃ