“Tusipime dini kwa makosa ya watu wachache.
Tukifanya hivyo, tunajenga hofu badala ya uelewano na kuhatarisha mshikamano wa taifa.”
Sheikh Ponda Issa Ponda
#DemokrasiaYetu
Heavenly Father, as we begin this new day, we thank You for the gift of life and Your endless grace. Guide our steps, bless our families, and strengthen those who are sick, mentally troubled, jobless, & facing hardships. Bring healing, hope, provision, and comfort to all. Amen!
“Nguvu ya mfumo wa haki hupimwa pia kwa uwezo wake wa kutoa haki kwa wakati. Pale mashauri yanapochelewa kwa muda mrefu bila ushahidi kukamilika, imani ya wananchi katika taasisi inaweza kuathirika.”
— Sheikh Ponda Issa Ponda
#DemokrasiaYetu
Heavenly Father, thank You for the gift of a new day. May You guide our paths, strengthen our hearts, bless the work of our hands, and surround us with peace, grace, favour, and protection. May we be a blessing to others today and always. Amen! 🤲
Maisha bora ya kiimani huanza pale unapokubali kwamba vita vikubwa si vya nje, bali vya ndani,na ushindi wake haupatikani kwa nguvu zako pekee, bali kwa kumruhusu Mungu kuongoza moyo, fikra, na mwenendo wako kila siku.
Heavenly Father, thank You for the gift of this new Sunday. Guide our steps, fill our hearts with peace, protect our families, and bless the work of our hands. May this day bring us joy, favor, and renewed strength. Amen!
We're not broke; we just don't have daddy's money, rich relatives, or connections. We're simply building from scratch, but believe me, our days will come.
Hello
I hold a Bachelor's Degree in pyschology
I am actively seeking position;
✅In teaching Biology and Geography
Also offering psychological counselling services.
In addition i posses strong computer skills.
LANGUAGE; English &swahili
Yoshua 1:9
“Je! Si mimi niliyekuamuru?
Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike, kwa kuwa Bwana Mungu wako yu pamoja nawe kila uendako.”
Siku za mwisho Roho atamwagwa juu ya watu. Wenye kiu watampokea, watapata maji ya uzima kutoka kwake kama ilivyoandikwa ila baraka zake zitaambatana nao, Roho Mtakatifu ni Roho wa baraka. Kila mwenye Roho Mtakatifu hatakiwi kuwaza umasiki wala ukawaida bali ukubwa na ukuu.