“Ndugu waandishi wa habari Mashirika ya Haki za Wasichana tumeunganisha sauti zetu kwenye kupigania Mabadiliko ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kifungu cha 13 na 17 nyinyi pia ni sehemu ya safari hii kwasababu mmekua mkitoa habari na kuandika makala zilizogusia mchakato wa..
It was such a honour to be featured in The Giving Tuesday Africa platform, as one of the women who are supporting other women to progress in their careers #africa # careers #Tuesday Africa
Januari 26,2023 Dar es Salaam. @TAMWA_ wametoa mafunzo ya Kifeminia kwa Mameneja na Wahariri wa vyombo vya habari kwa lengo la kuwaongezea uelewa juu ya ajenda hiyo na kuongeza usawa wa kijinsia katika sekta ya habari. #VunjaUkimya#WomenInMediaTz#ZuiaUkatili
katika kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya Habari Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania @TAMWA_
Dk Rose Reuben anasema wamekutana kuangalia namna ambavyo ukuaji wa Teknolojia unavyoweza kuathiri utoaji wa Habari fuatilia mijadala....
Maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya Habari yakatumike kuangalia changamoto zinazo ikabili sekta ya Habari na namna ya kufanyia kazi changamoto hizo ambazo hurudisha nyuma Maendeleo ya tasnia hii. #UhuruWaHabari, #PressFreedom, #WorldPressFreedomDay#WPFD2022.
NO woman is safe until ALL women are safe! #BreakTheBias in all facets of life to give women equality and equity in all they do. #iwd2022 should remind us We are ALL Human and We ALL Deserve DIGNITY! #AFMA2022
Extremely excited to be part of the AFMA-2022 Cohort.
Looking at the gendered consequences of Africa's Debt Crisis! So excited to be surrounded by amazing women from all over Africa. #AFMAEA2022#Femonomics
first day of “African Feminist Macroeconomic Academy”.
The theme for for this years regional academy is “Debt and Women’s Rights: A Pan African Feminist Perspective”.
#AFMAEA2022#Femonomics#AfriFem