@buma_jeb@munyamambogo Basi kuna mkanganyiko maana jamaa wanasema alikata moto huenda alizima wao wakasema amekata moto ila kama yupo hai mungu amfanyie wepesi aiseee lile eneo pamekuwa pamoja sana week 1 ilopita jamaa mwingine alifariki mbuyuni pale akiwa na IST pia nae ni ๐ฎ๐พโโ๏ธ
@MarekaMalili Imenitokea miaka zaid ya mitano sijawahi simamoshwa na trafik tena hapa dar ila nimeenda simamishwa juzi kati rungwe mbeya huko ile road trafik kama wapo field yaan kila km 5 unakutana na trafik