Makamu wa Kwanza wa Rais TFF, Athuman Nyamlani (Kulia) na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Group Eng.Hersi Said (kushoto) wakionesha mfano wa Hundi ya mkataba uliosainiwa leo wa Udhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya NBC wenye thamani ya shilingi Bilioni 2.1 kwa miaka 2.
@godbless_lema unazidi kunisikitisha unapoendelea kuonesha chuki ya waziwazi na kufurahishwa na kifo ambacho kimewaumiza wengi duniani. Kama kiongozi umepoteza uaminifu na hupaswi kujiita nabii wa Mungu maana unajikusanyia dhambi. Basi kaa kimya kama huna jambo la faida.