@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
🚨LEO TUNAAMKA NA HABARI KUBWA ANZA KWA KUREPOST.
COMMONWEALTH MINISTERIAL ACTION GROUP
WAMETOA RATIBA YA HATUA ZA UTEKELEZAJI KWA TANZANIA NDANI YA SIKU 30, 60 NA 90
Pamoja na mambo mengine Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imepewa siku 30 iwe imetatua suala la kuzuiliwa kwa Mhe. @TunduALissu kupitia njia ya kisiasa na kisheria lakini pia kuwaachilia huru watu wengine wote wanaoshikiliwa kwa sababu tu ya kutumia haki zao za msingi kwa njia ya amani.
Ndani ya siku 60 wameambiwa warejeshe upatikanaji kamili wa majukwaa ya kidijitali (digital platforms) kusitisha vitendo vya vitisho na unyanyasaji dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya siku 90 wahakikishe waitishe jukwaa la kuaminika na shirikishi la mashauriano kati ya vyama vya siasa, likiwa na wawezeshaji wasioegemea upande wowote yani Jukwaa hilo liwe na mamlaka ya kujadili na kukubaliana kuhusu marekebisho ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, suala la watu waliowekwa kizuizini na uwajibikaji.
Lakini pia wametoa Onyo la Septemba 2026 kwamba Tanzania imeamriwa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mambo hayo kabla ya mkutano maalum utakaofanyika Septemba 2026.
Onyo la Novemba 2026 (Hatua Kali): Jumuiya ya Madola imetoa onyo la mwisho kwamba isipoona maendeleo yoyote kufikia Novemba 2026, itachukua hatua kali zaidi dhidi ya Tanzania (ambayo kwa sasa tayari ipo chini ya uangalizi kwenye Agenda Rasmi
Acha kuendelee kuwaka.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
IRANIAN PRESIDENT: “If we did not have our defensive missiles, Israel and America would have plowed through Iran the way Gaza was plowed through, showing no mercy to the old or the young. They speak of human rights. It is a great lie.”
It’s a hard truth to hear, but it’s true.
Mpwa wa #MheshimiwaTemba ametekwa kwa zaidi ya siku tatu, huku msanii huyo akikaa kimya bila kutoa tamko lolote. Huu ndio udhaifu mkubwa wa wasanii wazembe wa mbogamboga. Ndugu yake ametekwa, haonekani nyumbani siku zote hizo, hajawahi kupaza sauti kwa kuandika katika kurasa zake huko Instagram au kusema kwa maneno. Baada ya kijana huyo kupatikana ameuawa kinyama, akiwa amekatwa kichwa na mwili wake kutupwa mtoni, ndipo Temba anaibuka na kuandika: “Mungu yupo, atatenda miujiza.” Mungu hamsaidii asiyejisaidia: Huwezi kusubiri majanga yafike mwisho ndipo upaze sauti. Hakuna aliye salama. Ni lazima sote tusimame kidete na kukataa katakata vitendo hivi vya UTEKAJI na mauaji ya kinyama.